August 4, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Vigogo watetea nafasi zao za ubunge ndani ya CCM

 

MATOKEO ya kutafuta wagombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), yanendelea kutolewa, ambapo moaka sasa, wafuatao wamepitishwa na wajumbe kupeperusha bendera ya CCM katika uchaguzi ujao:

Dar es salaam
Ubungo – Kitila Mkumbo
Kibamba – Angela Kairuki
Kawe – Geofrey Timoth
Kinondoni – Tarimba Gulam Abbas
Kivule – Ojambi Masaburi

Tanga
Muheza- Hamis Mohamed Mwinjuma (Mwana FA)
Pangani – Jumaa Hamidu Aweso
Tanga Mjini – Ummy Mwalimu

Ruvuma
Peramiho – Jenista Joakim Mhagama
Songea Mjini – Damas Ndumbaro
Nyasa – John John Nchimbi
Namtumbo – Juma Zuberi Homera

Mara
Tarime Vijijini – Mwita Mwikwambe Waitara

Kilimanjaro
Moshi Vijijini – Moris Makoi
Siha – Godwin Oloyce Mollel
Moshi Mjini – Priscus Jacob Tarimo
Vunjo – Enock Koola

Mbeya
Mbeya Vijijini – Patali Shida
Uyole – Tulia Ackson Mwansasu

Rukwa
Kwela – Deus Clement Sangu

Njombe
Makambako – Daniel Godfrey Chongolo
Wanging’ombe – Feston John Dugange

Morogoro
Morogoro Mjini – Abdulaziz Mohamed Abood
Kilosa – Palamagamba John Aidan
Morogoro Kusini – Hamisi Shaban Taletale (Babu Tale)

Lindi
Mchinga – Salma Kikwete (mgombea pekee)
Mtama – Nape Moses Nauye

Kagera
Karagwe – Innocent Bashungwa
Kyerwa – Khalid Nsekela

Dodoma
Mtumba – Anthony Peter Mavunde
Kongwa – Job Ndungai
Kondoa kusini – Mariam Ditopile
Kundoa vijijini – Ashatu Kijaji

IRINGA
Iringa mjini – Fadhili Fabian Ngajilo
Mafinga mjini – Dickson Lutevele
Mufindi Kaskazini – Lukman Mehrab
Mufindi Kusini – David Kihenzile

Pwani
Chalinze – Ridhwan Kikwete (mgombea pekee)
Rufiji – Mohamed Mchengerwa

Arusha
Arusha Mjini –  Paul Christian Makonda

TABORA
Nzega – Hussein Bashe

GEITA
Bukombe – Doto Mashaka Biteko

MTWARA
Mtwara Mjini – Joel Arthur Nanauka

KIGOMA
Kigoma Mjini – Kilumbe Shaban Ng’enda

SIMIYU
Bariadi vijijini – Masanja Kadogosa

About The Author

error: Content is protected !!