IRAN imerusha makombora katika kambi ya jeshi la Marekani nchini Qatar, ikisema kuwa ni kulipiza kisasi kwa mashambulizi ya Marekani dhidi ya maeneo yake ya nyuklia mwishoni mwa wiki. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea).
Mashuhuda wameripoti kusikia milio mikubwa angani juu ya Qatar, huku video zikionyesha miale mikali angani mifumo ya ulinzi wa anga ikijaribu kuzuia makombora.
Huu ni mlolongo wa ongezeko la mvutano katika mzozo unaohusisha Iran, Israel, na Marekani, ambao umeona hali ya wasiwasi Mashariki ya Kati ikipanda kwa viwango visivyo vya kawaida katika siku za hivi karibuni.
Maelezo ya shambulio hili la hivi punde bado yanaendelea kujitokeza. Haya hapa tunayoyafahamu hadi sasa
ZINAZOFANANA
Machafuko ya 29 Oktoba: Maaskofu Katoliki wataka wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wawajibike
Shinikizo la kufanyika uchunguzi wa mauaji ya 29 Oktoba lashika kasi
Samia atangaza msamaha kwa waandamanaji