
MAKADINALI kutoka kwenye kanisa la Sistine huko Vatican, wamemchagua Kardinali Robert Fancis Prevoat kutoka nchini Marekani kuwa kiongozi mpya wa Kanisa Katoliki Duniani (Papa). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).
Kardinal Robert mwenye umri wa miaka 69, atafahamika kama Papa Leo XIV, kufuatia kuchagua jina hilo.
Kardinalo huyo, anatokea Chicago nchini Marekani, na hadi kuchaguliwa kwake alikuwa akihudumu kama mkuu wa Dicastery wa kanisa kwa Maaskofu.
Prevost ametumia muda wake mwingi akitumikia nchini Peru, na ana uraia wa Marekani na Peru.
ZINAZOFANANA
NBC yakabidhi pikipiki 10 kwa Polisi kuimarisha usalama, yakabidhi ‘Kits’ kwa Mkuu wa Mkoa Dodoma
Mgombea CCM agawa pikipiki kwa wajumbe
Watu 18 wafa kwa njaa Ukanda wa Gaza