
Kama kawaida ni Jumamosi ya kwanza ya mwezi April ambapo inakuja na nafasi ya wewe kuchukua mkwanja wa maana. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Bashiri sasa mechi zote.
Ligi pendwa Dunia EPL leo hii itaendelea mapema kabisa Arsenal atakuwa ugenini kukipiga dhidi ya Everton ambao wapo nafasi ya 15, huku mara ya mwisho kukutana kwenye ligi walitoshana nguvu. Mechi hii imepewa ODDS 4.30 kwa 2.00. Bashiri hapa.
Pia Crystal Palace atakipiga dhidi ya Brighton ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 7 pekee tuu. Mwenyeji ametoka kutoa sare mechi yake iliyopita, huku mgeni yeye akipigika vibaya mno. Hivyo pointi 3 ni muhimu kwa timu zote leo hii. Je beti yako unaiweka wapi hapa?. Bashiri mechi hii yenye ODDS 2.50 kwa 2.85.
Ifikapo saa 1:30 Aston Villa atamenyana dhidi ya Nottingham Forest ya Nuno Santos ambao wamejipata msimu huu. Vijana wa Unai wanahitaji kulipa kisasi baada ya kupigika mechi ya kwanza walipokutana. Meridianbet wanampa nafasi ya kushinda mwenyeji kwa ODDS 2.00 kwa 3.85. Jisajili hapa.
Nafasi ya kuwa Milionea ndani ya Meridianbet unayo leo hii. Bashiri mechi za leo lakini pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao.
Kule Hispania LALIGA kuna mechi za kukupatia pesa Girona baada ya kupigika mechi yake iliyopita, leo hii atamkaribisha kwake Deportivo Alaves ambao wameachwa pointi 7 hadi sasa. Mwenyeji ana mechi 7 hajashinda huku mgeni wake mechi 2 za nyuma amepoteza. 2.08 kwa 3.85 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi hapa.
Real Madrid ambaye yupo kwenye mbio za ubingwa atakuwa nyumbani kupepetana dhidi ya Valencia ambao walishinda mechi yao iliyopita. Vijana wa Ancelotti wanahitaji ushindi kwa hali na mali ili kupunguza gepu na kinara wa ligi. Meridianbet wameipa mechi hii 1.30 kwa 9.60. Tengeneza jamvi hapa.
Hans Flick na Barcelona yake watakuwa uwanjani kusaka pointi 3 dhidi ya Real Betis huku mechi ya kwanza walipokutana walitoa sare. Je leo hii Barca watachukua pointi 3 nyumbani?. Na je nani unampa pesa yako akupe ushindi leo?. 1.43 kwa 6.60 ndio ODDS za mechi hii. Bashiri hapa.
SERIE A kule Italia itaendelea Como 1907 atasafiri kucheza dhidi ya AC Monza ambapo tofauti yao ni 15 pekee. Monza ndiye kibonde wa ligi akishinda mechi 2 kati ya 30 alizocheza. Mgeni wake ameshinda 7 akiwa na pointi zake 30. Je mwenyeji atafanya nyumbani?. 4.90 kwa 1.75 ndio ODDS za mechi hii. Tandika jamvi hapa.
Wakati kwa upande wa Inter Milan ambao ndio vinara wa ligi watakuwa ugenini kupepetana dhidi ya Parma Calcio ambao mechi ya kwanza walipasuka. Ikumbukwe kuwa mbio za ubingwa Italia ni za moto hivyo ushindi ni muhimu kwa kila timu. Je nani kuondoka kifua mbele leo?. 7.00 kwa .148 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.
AC Milan atakuwa akijitetea vs ACF Fiorentina ambao wamefatana kwenye msimamo wa ligi. Mwenyeji yupo 9 na mgeni wake nafasi ya 8. Ni pointi 4 pekee wamepishana huku wakali wa ubashiri wakimpa nafasi kubwa ya kushinda Milan kwa ODDS 1.93 kwa 4.00. Wewe unampa nani?. Beti hapa.
Vilevile ligi kuu ya Ujerumani, BUNDESLIGA itaendelea FC Heidenheim atamleta kwake Bayer Leverkusen ambao wapo nafasi ya 2, huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 16. Ushindi ni muhimu sana kwa timu zote mbili kwani mmoja anataka kujitoa chini na mwingine anataka mbio za ubingwa. 6.40 kwa 1.48 ndio ODDS za mechi hii. Tengeneza jamvi hapa.
Nao RB Leipzig watakuwa nyumbani dhidi ya TSG Hoffenheim huku mara ya mwisho kuonana RB laipigika. Je leo hii kwa ODDS 1.62 kwa 5.00 anaweza kulipa kisasi?. Ingia na ubashiri sasa.
Freiburg uso kwa uso na Borussia Dortmund, ambapo mwenyeji yupo nafasi ya 7 na mgeni wake nafasi ya 10. Takwimu zinasema kuwa mara ya mwisho kuonana hawa wawili mwenyeji alipoteza, hivyo leo anataka kulipa kisasi. Bashiri mechi hii yenye ODDS 3.15 kwa 2.30.
ZINAZOFANANA
Ijumaa ya leo itakuwa murua ukibashiri na Meridianbet
Jumapili ya kitajiri na Meridianbet hii hapa
Tandika jamvi mechi za Ijumaa leo