
Katibu Mtendaji wa NECTA, Dk. Said Mohamed
BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha pili na darasa la nne ambayo yatawawezesha wanafunzi kujiunga na kidato cha tatu na darasa la tano. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).
Kuangalia matokeo ya kidato cha pili ingia HAPA
Kuangalia matokeo ya darasa la nne ingia HAPA
ZINAZOFANANA
Heche hajaenda Kenya – Chadema
Raila Odinga ‘awasili’ Kisumu
TMA yatangaza utabiri wa mvua za msimu