Mchezo ni mmoja tu kwasasa ambao unakuhakikishia kushinda mkwanja wa kutosha nao si mwingine ni European Roulette ambao umekuja kwa kasi na washindi wa vitita wanapatikana kila siku cheza leo ushinde.
European Roulette ni moja wa michezo ya kasino ya mtandaoni rahisi na inayopendwa na wachezaji wengi, mchezo huu umetengenezwa na Habanero. Ambapo Meridianbet kasino ya mtandaoni imekusogezea mchongo huu rahisi wa kutengeneza mkwanja.
Mchezo huu una gurudumu la Roulette lenye namba, mpira na meza yenye namba za kuchagua. Chagua namba moja au kadhaa ambazo unahisi mpira utasimama, kisha acha gurudumu lizunguke likizisaka namba ulizochagua na badae kuibuka mshindi!!!
Unachezaje Sloti ya European Roulette?
Ukiwa ndani ya Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, chagua sloti ya European Roulette kisha utakutana na gurudumu la Roulette linalozunguka, meza yenye namba 36. Weka kete zako kwa kuchagua namba unazohisi mpira wa gurudumu utafikia, kisha weka dau lako, kumbuka ushindi mkubwa Zaidi unatokana na dau kubwa uliloweka, weka dau kubwa ushinde upige mtonyo mrefu.
Pia unaweza kuchagua namba zote kulingana na dau lako. Katika gurudumu la namba za Roulette, utaona rangi nyekundu na nyeusi yenye namba tofauti tofauti, isipokuwa namba 0 tu ambayo ina rangi ya kijani.
Baada ya kuchagua kete zako vizuri, bonyeza kitufe cha “play” kisha subiri shangwe la kibingwa. Baada ya ushindi, unaweza kurudia mzunguko kwa kubonyeza “Rebet”.
Usipoteze muda! European Roulette ndani ya Meridianbet kasino ya mtandaoni, inaweza kurudishia mpaka 98.65% ya dau lako! Ukichagua kete zako za bahati basi kwa hakika utapata ushindi mnono sana!
Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye sloti na michezo ya kasino kama Poker, Aviator, Roulette.
N.B: Kubwa kuliko!! Meridianbet wanakupa mizunguko ya bure kucheza kwenye kasino ya mtandaoni kwa mteja mpya baada ya kujisajili. Unasubiri nini ingia mchezoni kufurahia ofa hizi.
ZINAZOFANANA
NBC yasisitiza dhamira yake kusaidia miradi ya kijamii, Kikwete apongeza
NBC yazindua hati fungani ya Bil 27.2 kuwezesha wajasiriamali
Safiri mpaka msitu wa wachawi na Sloti ya Fairy Forest!