Mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet wameendelea kuhakikisha jamii yao inanufaika na uwepo wao kwani leo tena wametoa msaada kwa jamii.
Meridianbet leo wamefika eneo la Sinza Uzuri jijini Dar-es-salaam na kuhakikisha wanatoa msaada wa mahitaji ya chakula kwa familia kadhaa ambazo hazina uwezo wa kutosha, Hii ikiendelea kuonesha namna gani wanaithamini jamii yao.
Kampuni hiyo wamefanikiwa kutoa msaada wa mchele, Sukari, mafuta ya kupikia, Unga wa sembe, bila kusahau sabauni za kufulia nyumbani ni wazi msaada huu utawasogeza mbele familia hizi kwa namna moja ama nyingine.
Huu umekua utaratibu wa Meridianbet miaka nenda rudi ambapo wamekua wakihakikisha wanagawana kile walichokipata na jamii yao, Kwani mara zote wamekua wakitaka jamii yao ifurahie uwepo wao lakini pia wakigusa zaidi wale wenye uhitaji.
Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano Meridianbet, Nancy Ingram alipata bafasi ya kuzungumza katika ugawaji wa mahitaji hayo,“Kwanza kabisa ningependa kuwashukuru kwa ukarimu wenu mlionionesha lakini pia nafurahia kuwepo hapa kujumuika na nyie kw akutoa huu msaada kwen, Nipende tu kuwaahidi jitihada zetu za kuhakikisha tunarudisha kwa jamii hazitaishia leo tutendelea kufanya hivi kila wakati”
Halikadhalika wakazi wa Sinza Uzuri nao walifurahishwa kwa namna yake kutokana na msaada ambao Meridianbet wameutoa kwao, Kwani msaada huo wa vyakula utaweza kuwavusha katika wakati huu haswa kipindi hiki cha sikukuu ambapo vitu hupanda bei.
Sasa unaweza kunyakua kitita cha shilingi milioni moja taslimu kwa kushiriki shindano la mabingwa la michezo ya kasino ya Expanse ambapo mwisho ni tarehe 31 mwezi huu wa 12 Cheza sasa leo ujinyakulie kitita.
ZINAZOFANANA
Promosheni ya kalenda ya mwaka inakupa mizawadi kabambe
Meridianbet yatangaza promosheni ya sikukuu ya Tamasha la Dau Bonanza
GMGI yaendelea kupanua huduma kwa kujiimarisha Marekani