MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Saalaam itaanza kusikiliza mapingamizi ya awali tarehe 6 Aprili 2025 katika Kesi ya kina Sheikh Ponda na waumini wa dini ya kiislamu nchini ya kupinga Baraza Kuu la Waislam nchini (Bakwata) kuwa na maamuzi ya jumla katika masuala yanayohusu waislamu wote nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).
Leo tarehe 12 Desemba 2025 shauri hilo limetajwa mbele ya Jaji Arnold Kirekiano na kwamba upande wa wajibu maombi Bakwata na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) watawasilishwa mapingamizi ya awali na kusikilizwa tarehe 6 Aprili 2025 .
Msingi wa shauri hilo ni pamoja Waislam kuamua mambo yao hususan masuala ya uongozi, kuendesha taasisi zao pamoja na usimamizi wa mali zao .
Waumini waliopeleka maombi hay oleo waliwakilishw ana wakili Daimu Khalfani huku upande wa mwanasheria Mkuu akiuwakilisha wakili Edwin Wediro.
ZINAZOFANANA
TMA yatoa taarifa ya uwepo wa Kimbunga Dikeledi, pwani ya Msumbiji
Bashungwa azuiwa vitambulisho 31,000 vya NIDA
NIDA kutoa vitambulisho laki 4, waboresha mfumo