Shindano la michuano ya Expanse Kasino linaendelea ambapo limeanza tarehe 4 mwezi huu mpaka tarehe 20 mwezi huu wa 11, Ambapo kupitia shindano hili itawezesha kupata mshindi ambao atajinyakulia kitita. Kama ilivyokua kawaida shindano lolote la Expanse chini ya Meridianbet limekua likihusisha michezo mingi ya Expanse ambayo ndio inakua kete au chachu ya kumfanya mshiriki aweze kushinda kitita cha kutosha. Shindano hili Expanse linahusisha wachezaji wale waliosajiliwa kwenye tovuti ya Meridianbet tu na ndio watakua na uhalali wa kuweza kushiriki shindano hili na hata kufanikiwa kunyakua zawadi ambayo imewekwa. Baadhi ya michezo ambayo itakua sehemu ya shindano hili la Expanse ni kama ifuatavyo Book of Egypt Bounty Hunters Capital City Derby Casino Heist Fairy in Wonderland Forest Rock Fortune Farm Lucky’s Betting Shop Odd One Out PIA Piggy Party Lucky’s Betting Shop Odd One Out PIA Piggy Party Kupitia michezo hii ya kasino ndio itaweza kumpa fursa mchezaji kuweza kunyakua mkwanja wa kutosha kupitia shindano hili ambalo litadumu kwa siku 16. Michuano ya Expanse ya kasinoa itatoa mshindi baada ya kufata vigezo ambavyo vimeainishwa na kigezo kikubwa zaidi ni kuhakikisha unacheza ukiwa umesajiliwa kwenye tovuti ya Meridianbet ambapo mshindi kupitia shindano hili ataondoka na kitita cha shilingi laki tani taslimu za kitanzania TSH 500,000/= Share this… Facebook Pinterest Twitter Linkedin Whatsapp About The Author Erasto Masalu See author's posts Post navigation Vodacom, Soko la Hisa kuwawezesha Watanzania kiuchumi, wazindua DSE Mini App NBC yakabidhi gari la BMW X1 kwa mshindi kampeni ya ’Shinda mechi zako Kinamna yako’