December 23, 2024

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Shindano la Expanse linakupa mkwanja leo

 

Shindano la michuano ya Expanse Kasino linaendelea ambapo limeanza tarehe 4 mwezi huu mpaka tarehe 20 mwezi huu wa 11, Ambapo kupitia shindano hili itawezesha kupata mshindi ambao atajinyakulia kitita.

Kama ilivyokua kawaida shindano lolote la Expanse chini ya Meridianbet limekua likihusisha michezo mingi ya Expanse ambayo ndio inakua kete au chachu ya kumfanya mshiriki aweze kushinda kitita cha kutosha.

Shindano hili Expanse linahusisha wachezaji wale waliosajiliwa kwenye tovuti ya Meridianbet tu na ndio watakua na uhalali wa kuweza kushiriki shindano hili na hata kufanikiwa kunyakua zawadi ambayo imewekwa.

Baadhi ya michezo ambayo itakua sehemu ya shindano hili la Expanse ni kama ifuatavyo

  • Book of Egypt
  • Bounty Hunters
  • Capital City Derby
  • Casino Heist
  • Fairy in Wonderland
  • Forest Rock
  • Fortune Farm
  • Lucky’s Betting Shop
  • Odd One Out
  • PIA
  • Piggy Party
  • Lucky’s Betting Shop
  • Odd One Out
  • PIA

Kupitia michezo hii ya kasino ndio itaweza kumpa fursa mchezaji kuweza kunyakua mkwanja wa kutosha kupitia shindano hili ambalo litadumu kwa siku 16.

Michuano ya Expanse ya kasinoa itatoa mshindi baada ya kufata vigezo ambavyo vimeainishwa na kigezo kikubwa zaidi ni kuhakikisha unacheza ukiwa umesajiliwa kwenye tovuti ya Meridianbet ambapo mshindi kupitia shindano hili ataondoka na kitita cha shilingi laki tani taslimu za kitanzania TSH 500,000/=

About The Author

error: Content is protected !!