
Mkuu wa Kitengo cha Hazina na Masoko ya Dunia wa benki ya Exim Tanzania, Nelson Kishanda akizungumza na wafanyakazi wa benki hiyo katika maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja 2024 katika tawi la benki hiyo la Samora Avenue. Kushoto kwake ni Frank Matoro, Meneja Mkuu wa Huduma za Wateja.


Wafanyakazi wa benki ya Exim Tanzania wakifanya matembezi ya amani wakati wa kuadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja 2024 ambapo walitembea kutoka Makao Makuu ya benki hiyo, Exim Tower mpaka tawi lake la Samora Avenue jijini Dar es Salaam mnamo tarehe 5 Oktoba 2024.
ZINAZOFANANA
Wiki ya mwisho ya kushinda Samsung A26 kutoka Super Heli yazidi kunoga
Zombie Apocalypse ya Meridianbet ni safari ya ushindi isiyokuwa na mipaka
Meridianbet yarejesha kwa jamii ikigawa vyakula kwa familia zenye uhitaji