
Mkuu wa Kitengo cha Hazina na Masoko ya Dunia wa benki ya Exim Tanzania, Nelson Kishanda akizungumza na wafanyakazi wa benki hiyo katika maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja 2024 katika tawi la benki hiyo la Samora Avenue. Kushoto kwake ni Frank Matoro, Meneja Mkuu wa Huduma za Wateja.
Wafanyakazi wa benki ya Exim Tanzania wakifanya matembezi ya amani wakati wa kuadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja 2024 ambapo walitembea kutoka Makao Makuu ya benki hiyo, Exim Tower mpaka tawi lake la Samora Avenue jijini Dar es Salaam mnamo tarehe 5 Oktoba 2024.
ZINAZOFANANA
Serikali yafikiria kutunga Sera ya uagizaji magari ili kulinda viwanda vya ndani
Maajabu ya sloti Fairy in Wonderland, ushindi upo huku
Sloti ya Capital City Derby mamilioni yanakusubiri