Elimu
SHULE za Sekondari za Serikali, pamoja na watahiniwa wasichana, wameng’ara katika matokeo ya mtihani wa kidato cha sita. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2022NAIBU Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Davidi Silinde,amesema kwa uzembe wowote utakaofanyika kwa na kukwamisha mradi wa kuboresha Elimu ya Sekondari...
By Danson KaijageJune 30, 2022WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza kuanzia sasa fomu za kujiunga na sghule za umma sharti zipitiwe na makatibu Tawala wa Mikoa na...
By Mwandishi WetuJune 30, 2022WANAFUNZI wa shule ya msingi Peaceland English Medium iliyopo Ukerewe Jijini Mwanza wamesema kuwa kitendo cha serikali kupitisha elimu bure kuanzia shule...
By Danson KaijageJune 30, 2022KUNA usemi usemao “usilolijua ni sawa na usiku wa giza” na ndivyo wamiliki wa kumbi za starehe maeneo yaliyo karibu na vyuo...
By Masalu ErastoJune 29, 2022SERIKALI ya Tanzania, inajipanga kupitia upya miongozo ya kujiunga shule za sekondari na kidato cha tano na sita, ili kupunguza masuala yanayoongeza...
By Mwandishi WetuJune 24, 2022KATIKA kutimiza miaka 60 toka kuanzishwa kwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, ndaki ya Sayansi Asilia na Tumizi inajivunia kutoa wataalum wengi...
By Mwandishi WetuJune 22, 2022SERIKALI imetenga Sh. 8 bilioni kwa ajili ya kuanzisha dirisha maalumu (Special Fund) litakalokuwa linasaidia watoto wanaotoka katika familia masikini. Anaripoti Erasto...
By Masalu ErastoJune 15, 2022SERIKALI ya Tanzania imetangaza kusudio la kufuta ada kwa wanafunzi wa kidato cha tano na sita, katika mwaka wa fedha ujao wa...
By Mwandishi WetuJune 14, 2022JAMII imetakiwa kuendelea kujitokeza kwa wingi kusaidia kundi la wasichana wenye ulemavu taulo za kike ili kuwawezesha kujistili kipindi wanapoingia mzunguko wa...
By Mwandishi WetuJune 13, 2022IMEELEZWA kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, imefanya mapinduzi ya elimu kwa mkoa wa Tabora baada ya...
By Gabriel MushiMay 25, 2022MBUNGE Viti Maalumu, Sophia Mwakagenda, ameishauri Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, itumie matokeo ya nyuma ya wanafunzi katika kuamua ufaulu wa...
By Mwandishi WetuMay 25, 2022JUMLA ya Sh milioni 40 zilizotolewa na Serikali kupitia mkopo nafuu wa mapambano dhidi ya Uviko-19 zimeweka historia kwa wanafunzi 271 wa Shule...
By Gabriel MushiMay 23, 2022SERIKALI ya Tanzania, imeshauriwa kuanzisha mtaala wa elimu kuhusu usafiri wa anga, kwa shule za sekondari hadi kidato cha sita, ili kutoa...
By Regina MkondeMay 21, 2022VIJANA wa Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, wameeleza kufaidika na fedha za mradi wa ujenzi wa madarasa na ofisi za walimu baada ya...
By Gabriel MushiMay 17, 2022CHUO cha Maendeleo ya Ujuzi, Ufundi na Viwanda (Furahika Education) la Jijini Dar es salaam kimetangaza nafasi za masomo ya ufundi bure kwa...
By Gabriel MushiMay 12, 2022MBUNGE wa Ubungo, Profesa Kitila Mkumbo, ameishauri Serikali ifute kada ya maafisa elimu kata, ili kuziba changamoto ya upungufu wa walimu shuleni....
By Regina MkondeMay 10, 2022RAIS wa Tanzania ,Samia Suluhu Hassan amewatakia wanafunzi wote wa kidato cha sita kila kheri,katika mitihani yao iliyoanza leo jumatatu tarehe 9...
By Masalu ErastoMay 9, 2022JUMLA ya watahiniwa 95,955 kutoka shule za sekondari 841 na vituo vya watahiniwa wa kujitegemea 250 wanatarajia kuanza mitihani ya kumaliza kidato ya...
By Gabriel MushiMay 8, 2022MJADALA kuhusu lugha gani itumike kufundishia kati ya kiingereza au Kiswahili umeendelea kutikisa baada ya asilimia kubwa ya wabunge kushauri kuwa kiingereza kitumike...
By Gabriel MushiMay 7, 2022CHAMA cha walimu Tanzania(CWT) kimempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na namna inavyowajali watumishi nchini wakiwemo walimu. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma …...
By Danson KaijageMay 7, 2022NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Nishati nchini Tanzania, Kheri Abdul Mahimbali leo ametembelea Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) na kupata...
By Mwandishi WetuMay 7, 2022MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetoa msaada wa kompyuta mpakato tatu zenye thamani ya zaidi ya...
By Mwandishi WetuMay 7, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema wanafunzi zaidi ya 3,000 walioacha masomo kwasababu mbalimbali, wamerejea masomoni baada ya Serikali yake kutoa muongozo wa...
By Regina MkondeMay 4, 2022WAKATI upungufu wa walimu wa msingi na sekondari nchini ukiwa ni 175,701, Serikali imeomba kibali cha kuajiri walimu 10,000 pekee, 5,000 kati...
By Mwandishi WetuApril 14, 2022SHULE za Msingi nchini zinakabiliwa na upungufu wa walimu 100,958 kwa kuangalia uwiano wa mwalimu mmoja kwa wanafunzi 60. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuApril 14, 2022SERIKALI imesema uandikishaji wa wanafunzi wa Mpango wa Elimu ya Msingi kwa Walioikosa (MEMKWA) umepungua kutoka 50,192 mwaka 2021 hadi 12,421 mwaka...
By Mwandishi WetuApril 14, 2022SHULE za Msingi nchini zinakabiliwa na upungufu wa walimu 100,958 kwa kuangalia uwiano wa mwalimu mmoja kwa wanafunzi 60. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuApril 14, 2022WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania, Profesa Adlof Mkenda amewataka wadhibiti ubora wa elimu nchini kutumia vifaa vya kisasa kuboresha...
By Mwandishi WetuApril 5, 2022JUMLA ya Sh milioni 160 zimekamilisha ujenzi madarasa nane ya shule ya sekondari Ihanga na kumaliza adha ya mrundikano wa wanafunzi katika darasa...
By Gabriel MushiMarch 23, 2022JUMLA ya wanafunzi 16 wenye mahitaji maalumu katika Shule ya Msingi Subira iliyopo Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma, wamemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan...
By Gabriel MushiMarch 21, 2022SERIKALI ya Tanzania imeanza mchakato wa kufanyika kwa mabadiliko makubwa ya sekta ya elimu ikiwemo kuipitia upya Sera ya Elimu ya mwaka...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2022WAZAZI na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Chief Kidulile wamemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa ujenzi na ukarabati wa madarasa katika shule hiyo...
By Gabriel MushiMarch 9, 2022SERIKALI ya Tanzania, imetoa muongozo na utaratibu wa wanafunzi walioacha masomo kwa sababu mbalimbali, kurudi shuleni. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam …...
By Regina MkondeMarch 9, 2022IKIWA imebaki siku moja Dunia kuadhimisha siku ya wanawake duniani kesho Jumanne 8 Machi 2022, Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kimetoa hamasa...
By Gabriel MushiMarch 7, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali yake haitakubali mtoto wa Kitanzania akose fursa ya elimu kwa sababu ya kuwa na...
By Regina MkondeMarch 7, 2022MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema wanatarajia kujenga shule za sekondari za ghorofa 20, ili kutekeleza agizo la Rais...
By Gabriel MushiMarch 7, 2022WAZAZI na walezi wa wanafunzi wa shule ya sekondari ya Makole ambao wapo kidato cha pili na cha nne kwa pamoja wamekubaliana kushirikiana...
By Gabriel MushiMarch 6, 2022MAMLAKA ya Elimu Tanzania kwa kushirikiana na asasi ya BRAC-Maendeleo wametoa kompyuta 120 zenye thamani ya Sh milioni 132 kwa shule tatu...
By Mwandishi WetuMarch 6, 2022WANANCHI wa wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga wameeleza kufaidika na miradi ya Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) ambayo inajenga...
By Gabriel MushiMarch 2, 2022Serikali kupitia mradi wa BOOST utakaotekelezwa katika Shule za Msingi inatarajiwa kujenga madarasa 12,000 katika mwaka wa fedha 2022/2023. Anaripoti Mwandishi Wetu...
By Mwandishi WetuFebruary 17, 2022WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amekabidhi tuzo kwa Walimu ambao wanafunzi wao wamefanya vizuri katika somo la Hisabati...
By Mwandishi WetuJanuary 29, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amesema baada ya ujenzi wa miundombinu ya elimu, kutoa vifaa vya kusomeshea, kujenga mazingira ya usomeshaji, ujenzi wa...
By Mwandishi WetuJanuary 27, 2022Mwanafunzi wa kidato cha sita katika Shule ya Skondari Benjamini Mkapa iliyopo jijini Dar es Salaam, Emmanuel Mzena amemwaga machozi baada ya...
By Mwandishi WetuJanuary 27, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema wasaidizi wote wa Rais Samia Suluhu Hassan wamejipanga kuhakikisha wanamsaidia kwa weledi wote, uaminifu ili...
By Mwandishi WetuJanuary 26, 2022Kwa zaidi ya miaka kumi sasa somo la hisabati limekua changamoto kwa Taifa hususani kwa wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari kwani...
By Gabriel MushiJanuary 22, 2022WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania imewataka maafisa elimu maalum wa halmashauri kushirikiana na maafisa elimu kata na jamii ili...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2022Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne na upimaji wa kidato cha pili ambayo kwa...
By Mwandishi WetuJanuary 16, 2022Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne ambapo takwimu zinaonesha kuwa jumla ya...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2022Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne ambapo takwimu zinaonesha kuwa mwanafunzi bora...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2022