Friday , 29 March 2024

Elimu

Elimu

Elimu

Serikali yaahidi kuzilegeza masharti shule binafsi

  SERIKALI imeahidi kuboresha mazingira ya uwekezaji kwa wamiliki wa shule binafsi, ili ziweze kutekeleza majukumu yake vizuri ya kutoa elimu bora kwa...

Elimu

GEL yataja fursa ziara ya Rais Samia India

WAKALA wa Elimu Nje ya Nchi Global Education Link (GEL) imetaja fursa kem kem ambazo Tanzania itanufaika nazo kupitia  ziara ya Rais Samia...

Elimu

CBE kuanza kutoa mafunzo kwa njia ya mtandao

CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimewataka walimu na wafanyakazi wa chuo hicho kuboresha huduma kwa wateja na kujiandaa kutoa mafunzo kidijitali ili...

Elimu

NMB yatoa milioni 20 kupiga jeki shule 3 Ilala 

IKIWA ni sehemu ya dhamira yake ya kusaidia maendeleo ya sekta elimu nchini, Benki ya NMB imekabidhi madawati na meza yenye thamani ya...

Elimu

Viwanda zaidi ya 200 kuonyesha bidhaa maonyesho ya TIMEXPO Dar

SHIRIKISHO la Wenye Viwanda Nchini (CTI) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maendeleo ya  Biashara (TanTrade), wameandaa maonyesho makubwa ya kimataifa ya viwanda ambapo...

Elimu

Wazazi wa wanafunzi waliokosa nafasi vyuo vikuu waonyeshwa njia na GEL

WAKALA wa Elimu ya Vyuo Vikuu Nje ya Nchi, Global Education Link (GEL), imewataka wazazi ambao watoto wao wamekosa nafasi za kusoma vyuo vikuu  ndani...

ElimuHabari Mchanganyiko

Wanafunzi Nyamkumbu wanolewa na GGML kuhusu taaluma ya madini

ZAIDI ya Wanafunzi 50 kutoka Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Nyankumbu iliyopo mkoani Geita wamepatiwa mbinu za kuzingatia katika masomo yao ili...

Elimu

Green Acres kuwakatia bima wanafunzi wote

Shule ya Green Acres imejipanga kufanya mambo makubwa kwa mwaka 2023 / 2024 ikiwemo kuwakatia bima wanafunzi wa shule hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)...

Elimu

Vipaji Green Acres vyawafurahisha wazazi

WANAFUNZI wa Shule ya Msingi Green Acres, wamewapagawisha wazazi na wageni waalikwa kwenye mahafali yao baada ya kuzungumza kwa ufasaha lugha ya Kifaransa...

ElimuHabari Mchanganyiko

Mtwara Girls waondokana na changamoto ya maji

  WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari ya Wasichana mkoani Mtwara (Mtwara Girls High School), wameishukuru Serikali ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kwa...

Elimu

Rc Singida atoa siku 7 kukamilisha miradi elimu ya sekondari

MKUU wa Mkoa wa Singida Peter Selukamba ametoa siku saba kwa halmashauri ya Iramba, Mkarama, Singida Dc na Manispaa kuhakikisha miradi ya elimu...

ElimuHabari Mchanganyiko

Kiswahili sasa kuanza kufundishwa Cuba

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Cuba zimesaini hati za makubaliano ya kushirikiana katika sekta ya elimu...

ElimuHabari

Wanafunzi wa vipimo na viwango CBE waula

CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimefanya uwekezaji mkubwa wa vifaa vya kisasa kwenye idara yake ya vipimo na viwango hususan kwenye upimaji...

Elimu

CBE kuanza kutoa mafunzo ya akili bandia

CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimeingia makubaliano na Taasisi ya Teknolojia ya Habari JR Institute of Information and Technology ambao utakiwezesha chuo...

Elimu

Rais Samia awapa ujumbe wanafunzi darasa la saba

Rais Samia Suluhu Hassan amewatakia heri wanafunzi wote wa darasa la saba wanaoanza mitihani yao ya kuhitimu leo Jumatano. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea)....

Elimu

Profesa UDSM ataka shule ziige ubunifu kwa shule za St Mary’s

MHADHIRI wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, Profesa Goodluck Urassa amesema ili shule ziweze kufanya vizuri kitaaluma, walimu wanapaswa kufanya kazi yao...

Elimu

Tanzania ina maprofesa 63

SERIKALI imesema hadi kufikia mwaka 2022 Tanzania ilikuwa na jumla ya maprofesa 226 kati yao 163 wakiwa ni maprofesa washiriki (Associate Professors) na...

Elimu

Shule ya East Africa yaahidi kufanya maajabu kitaaluma

MWENYEKITI wa Wazazi (CCM) Mkoa wa Morogoro, Dk. Rose Rwakatare, ameishukuru serikali kwa kuendelea kuweka mazingira rafiki kwa wawekezaji wazawa. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)...

Elimu

Wanafunzi shule ya East Africa Dodoma waonyesha vipaji

KATIKA kukimarisha afya ya akili na mwili kwa wanafunzi shule ya Awali na Msingi ya East Africa iliyoko Kikuyu jijini Dodoma, imeanzisha somo...

Elimu

Musoma Vijiji kumuenzi bingwa wa Kiswahili, Prof. Massamba

WANANCHI wa Musoma Vijijini, mkoani Mara, wameahidi kujenga shule ya sekondari itakayopewa jina la Prof. David Masamba, ili kuuenzi mchango wake katika kukuza...

Elimu

TCU yatoa maelekezo tisa, yaonya vyuo

TUME ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), imetoa maelekezo tisa yanayopaswa kufuatwa vyuo vya elimu ya juu na waombaji wapya katika mchakato wa udahili...

ElimuMichezo

Tunda Man azishauri shule kuwa na programu za kuibua vipaji

  MWANAMUZIKI Khaleed Ramadhan maarufu kama Tunda Man alifanya onyesho la aina yake kwenye shule ya Brilliant na kuzishauri shule ziwe na profamu...

Elimu

Wanafunzi bora shule ya Brilliant kutesa na iphone macho matatu

MKURUGENZI wa shule ya Brilliant Dk. Jasson Rweikiza, amesema hakuna mwanafunzi wa shule hiyo atakayefukuzwa kwa kukosa ada baada ya kufiwa na mzazi...

Elimu

Serikali yaombwa kupunguza kodi shule binafsi

SERIKALI imeombwa kuzipunguzia mzigo wa kodi shule binafsi ili zimudu gharama za uendeshaji kwa lengo la kutoa huduma bora za elimu. Anaripoti Regina...

Elimu

Wadau waombwa kutatua changamoto shule za umma

SERIKALI na wadau wametakiwa kujitoa katika kutatua changamoto zinazokabili shule za umma. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Ushauri huo umetolewa na Mwenyekiti...

Elimu

Shule zinazofanya mtihani wa dini ya Kiislam zaongezeka matokeo yatangazwa

  IDADI ya Shule ya shule za msingi zinazofanya mitihani ya elimu ya dini ya Kiislam nchini imeongezeka kulinganisha na mwaka jana kutoka...

Elimu

DC Dar aipongeza St. Anne Marie Academy kwa ufaulu

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Hashim Komba, amempongeza Mkurugenzi wa shule za St Anne Marie, Dk. Jasson Rweikiza kwa uwekezaji mkubwa alioufanya kwenye...

Elimu

Mollel aomba dirisha maalum la Visa kwa wanafunzi kwenda kusoma China

MKURUGENZI wa Global Education Link, Abdulmalik Mollel, ameishukuru China kwa kufungua mipaka yake na ameomba Ubalozi wan chi hiyoo hapa nchini kufungua dirisha...

Elimu

Wanafunzi 800 watumia madarasa 4

KUKOSEKANA kwa vyumba vya kutosha vya madarasa katika shule ya msingi ya Mamboya iliyopo Kijiji na kata ya Mamboya Tarafa ya Magole Wilayani...

Elimu

Umahiri wa Kingereza wanafunzi Tusiime wamshangaza Ofisa Elimu Dar 

  UMAHIRI wa hali ya juu wa kumudu kuzungumza lugha ya kingereza kwa ufasaha ulioonyeshwa na wanafunzi wa shule ya msingi Tusiime umemfurahisha...

Elimu

NMB yaimarisha elimu, afya Tabora, Simiyu na Mwanza

BENKI ya NMB imeshiriki katika utatuzi wa changamoto za afya na elimu kwa kutoa michango muhimu katika kuimarisha huduma hizo kwenye maeneo mbalimbali...

Elimu

Chuo cha Uhasibu Arusha (AIA) chapanua wigo wa kitaaluma nchini

  WAKATI maendeleo ya Elimu nchini yakiongezeka Chuo cha Uhasibu Arusha kimeongeza usanifu ili kuendana na kasi ya mabadiliko hayo. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Elimu

Vyuo vikuu 15 bora Malasyia kuonyesha fursa za masomo Dar

VYUO vikuu vikubwa 15 vya nchini Malaysia vinatarajia kufanya maonyesho hapa nchini kwa lengo la kuwaonyesha watanazania fursa mbalimbali za kielimu zinazopatikana kwenye...

Elimu

Wanafunzi 3,000 MNMA wafundwa uongozi, maadili

CHUO cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA), kilichopo wilayani Kigamboni jijini Dar es Salaam, kimetoa mafunzo ya uongozi na maadili kwa wanafunzi wanaotarajia...

Elimu

Mgogoro wa ardhi wakwamisha ujenzi nyumba ya walimu Ileje

MGOGORO wa mpaka kati ya vijiji vya Sange na Mswima kata ya Sange wilayani Ileje mkoani Songwe umetajwa kukwamisha ujenzi wa nyumba ya...

Elimu

Mdhibiti ubora ashangazwa na miundombinu St Anne Marie

SHULE ya St Anne Marie Academy ya Mbezi Kimara kwa Msuguri jijini Dar es Salaam imepongezwa kwa kuendelea kuwekeza kwenye miundombinu ya shule...

ElimuTangulizi

Ufaulu kidato cha sita 2023 waongezeka

  UFAULU wa mtihani wa kidato cha sita kwa 2023, umeongezeka kwa aislimia 0.2, kutoka 98.97%(2022) Hadi 99.23% mwaka huu. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

ElimuHabari MchanganyikoMichezo

Ubongo yatimiza miaka 10, yawafikia makazi mil 32 Afrika, nchi 22

  KAMPUNI ya Ubongo inayozalisha vipindi vya elimu burudani Afrika, ina furaha kuwatangazia maadhimisho ya miaka 10 tangu kuanzishwa kwake, ikisherehekea muongo mmoja...

Elimu

St Mary Goreti yasifiwa kwa mchango wake katika jamii

MBUNGE wa Moshi Mjini, mkoani Kilimanjaro, Priscus Tarimo, ameupongeza uongozi wa shule ya sekondari ya St Maria Goreti mchangao mkubwa inayotoa katika kukuza...

Elimu

Global Education Link yatoa fursa vyuo vya nje sabasaba

WAKALA wa Elimu Nje ya nchi Global Education Link (GEL), imeendesha zoezi la kudahili wanafunzi vyuo nje ya nchi papo hapo kwenye maonyesho...

ElimuTangulizi

Mwanafunzi kidato cha 3 ajinyonga darasani, akutwa na ujumbe wa kugomea shule

MWANAFUNZI wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari Lumbira kata ya Luanda wilayani Mbozi mkoani Songwe,Japhari Mwashitete  (16) amekutwa amefariki dunia kwa...

Elimu

Musoma Vijijini waomba shule za kidato cha tano, sita

JIMBO la Musoma Vijjiini mkoani Mara, limeomba Serikali ianzishe shule za kidato cha tano na sita, huku likisema kuna baadhi ya shule zilizojengwa...

BiasharaElimu

Teknolojia ya kidigitali kuleta mapinduzi ya elimu Kusini mwa Jangwa la Sahara   

TEKNOLOJIA za kidigitali na uunganishwaji ni ufunguo wa kuwawezesha vijana wa Afrika kuonyesha uwezo wao. Kwa kuwafungulia milango ya fursa kwa vijana wa...

Elimu

Wananchi wajitolea ujenzi shule mpya Mbozi, watoto hutembea kilomita 10

WANANCHI wa vitongoji vilivyopo katika kata ya Mlowo halmashauri ya wilaya ya Mbozi mkoani Songwe wamechangia nguvu kazi kujenga shule ya sekondari Nambala...

Elimu

800 wahitimu masomo elimu ya watu wazima

JUMLA wanafunzi 800 wamehitimu masomo katika Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) kati yao wanaume 279 sawa na asilimia 35  na wanawake...

Elimu

Wanafunzi 275 watumia darasa moja kusoma, Serikali yataja mikakati

KUTOKANA na uwepo wa msongamano mkubwa wa wanafunzi katika shule ya msingi Tunduma wilayani Momba mkoani Songwe uliosababisha wanafunzi 270 kusomea katika darasa...

Elimu

Tunduma waiangukia Serikali kukamilisha ujenzi sekondari ya Samia

WADAU wa elimu mkoani Songwe wameiomba serikali kuharakisha ujenzi wa mabweni katika shule mpya ya wasichana ya Dk. Samia S.H sekondari inayojengwa kwa...

Elimu

Tanzania inatarajia kutundika satelite kulinda nchi

KATIKA kuimarisha mifumo ya ulinzi nchini, Tanzania inatarajia kutundika satellite yake ya kwanza angani itakayotumika pia katika kuboresha huduma za mawasiliano. Anaripoti Mwandishi...

ElimuMichezo

Ubongo Kids sasa waja na Nuzo na Namia

UBONGO Kids waliotamba na katuni za watoto za Ubongo Kids na Akili na Me, sasa wamekuja na hadithi mpya za watoto wa Afrika...

Elimu

NBC yatoa milioni 100/- kufadhili masomo ufundi stadi

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC ) kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia wamezindua mpango rasmi wa ufadhili wa masomo...

error: Content is protected !!