Kila bingwa huanza na hatua moja. Meridianbet inakupa jukwaa la kuwa bingwa kupitia Big Bounty Challenge, mashindano ya kusisimua yanayokupa nafasi ya kupanda nafasi za juu zaidi mchezoni na kushinda mamilioni kila wiki.
Kupitia michezo maalum iliyochaguliwa na Games Global, kila raundi unayoshiriki inakua ni hatua ya kuelekea juu zaidi na karibu na ushindi. Ni safari ya ushindani ambapo wenye uthubutu zaidi na mbinu sahihi wanang’ara zaidi.
Meridianbet wanakupa jukwaa pana la kubashiri, mechi kali za kimataifa hadi michezo ya kasino mtandaoni iliyojaa burudani. Ukiwa na odds zenye ushindani mkubwa, kila tiketi inakuwa na thamani zaidi. Jiunge sasa kupitia tovuti yao au piga *149*10#.
Kwa dau la kuanzia Tsh. 300 tu, unaweza kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kuondoka na Tsh. 30,000,000 kila wiki. Hakuna masharti yoyote ya ziada na ushindi ni wako moja kwa moja unapofanikisha.
Meridianbet inaendelea kuwa mshirika wako wa kuaminika kwa kuhakikisha pesa zako zinapatikana muda wote bila vikwazo. Hii siyo nafasi ya kawaida, ni nafasi ya kubadilisha mchezo wako.
Jiunge leo na Meridianbet, cheza mara nyingi zaidi uwezavyo, panda nafasi za juu kwenye uongozi na uandike historia yako ya ushindi. Kwa Big Bounty Challenge, wewe ndiye bingwa anayefuata.
ZINAZOFANANA
Hatutaongeza bei ya gesi – Taifa Gas
Airtel Tanzania yamkabidhi mshindi gari la Mazda CX-5
Gates of Love kuja imesheheni upendo na zawadi zisizoisha