Katika hafla ya chakula cha usiku ya American Chamber of Commerce Tanzania, Meridianbet Tanzania ilisimama tofauti, ikionyesha nguvu yake si tu katika michezo ya kubahatisha, bali pia katika kuleta mabadiliko chanya kwa jamii. Kampuni ilianza hotuba yake kwa kuelezea mafanikio yake na idadi ya miradi ya kijamii iliyotekelezwa tangu mwaka 2009 mpaka sasa.
Miradi hii imegusa maisha ya Watanzania kwa namna ya kitofauti. Kutoka kwenye elimu na mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana, hadi udhamini wa michezo ya vijana na kampeni za afya ya umma, Meridianbet imekuwa mshirika wa karibu wa jamii. Zaidi ya hayo, miradi ya kuboresha miundombinu ya kijamii imekuwa ikipewa kipaumbele zaidi.
Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi, Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Ikiwa kama sehemu ya Golden Matrix Group (NASDAQ: GMGI), Meridianbet Tanzania inaleta viwango vya kimataifa vya uwajibikaji wa kijamii. Katika sekta ya michezo ya kubahatisha, Meridianbet imechagua njia ya kujiweka kiutofauti kwa kujenga, kushirikisha, na kurejesha kwa jamii kwa zaidi ya miaka 17 sasa.

Zaidi ya yote, Meridianbet imeendelea kujihusisha na jamii kwa kuunda mtandao wa mabalozi unaowawezesha wateja kushiriki moja kwa moja katika miradi ya CSR. Ikiungwa mkono na wafanyakazi zaidi ya 200 na mamia ya washirika wa rejareja.
Kwa miradi hii zaidi ya 500, Meridianbet Tanzania haionyeshi tu ukuaji wa biashara, bali pia ni mfano wa ni jinsi gani kampuni inaweza kuunganisha faida na ustawi wa jamii. Hii ni hadithi ya uwekezaji wa kijamii unaoleta matokeo halisi, ikithibitisha kuwa burudani, uwajibikaji, na maendeleo vinaweza kwenda sambamba.
ZINAZOFANANA
Serikali yajipanga kutatua changamoto za mazingira ya biashara
TVBET ndani ya Meridianbet ikileta kasi, na burudani ya kasino isiyo na kikomo
Nafasi ya kipekee ya kushinda Samsung A26 kwa wapenzi wa kasino