January 27, 2026

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

JIMIXX na ushindi Bab Kubwaa ukutane na ushindi wa kishindo

Meridianbet kwa kushirikiana na Mixx by Yas wameamua kubadili mchezo kwa kuleta promosheni mpya yenye ladha ya ushindi, JIMIXX na Ushindi Bab Kubwaa. Kuanzia Januari 27 hadi Aprili 27, 2026, wabashiri Tanzania wanakaribishwa kuingia kwenye msimu wa burudani uliojaa fursa za zawadi za kiwango cha juu.

Promosheni hii ni mwendelezo wa dhamira ya Meridianbet ya kuwa karibu na mteja wake, kumpa thamani zaidi na kufanya kila dau liwe lenye thamani. Akizungumza kuhusu promosheni hiyo, mwakilishi wa Meridianbet, Clementina Kigwa, alisisitiza kuwa JIMIXX ni zawadi kwa uaminifu wa wateja.

“Tunafurahi kushirikiana na Mixx by Yas kuanzisha promosheni hii ya kusisimua kwa wateja wetu wapendwa, Sisi Meridianbet, tuna dhamira ya kutoa thamani na burudani bora kwa wateja wetu, na promosheni hii ni ushahidi wa uaminifu wetu.” alisema.

Mbali na mchezo huu, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Lakini sasa, mpira uko kwako. Ukiweka dau la kuanzia Tsh 5,000 au zaidi kupitia Mixx by Yas, moja kwa moja unaingia kwenye dunia ya mizunguko ya bure kwenye michezo ya kasino chini ya Expanse Studios. Hakuna hesabu ngumu wala masharti ya kutatanisha, weka dau, cheza, na jiongezee nafasi ya kushinda kila siku.

Na kuhusu ushindi, umebeba jina lake kweli. Kila siku kuna zawadi za mizunguko ya bure, kila wiki washindi wawili wanajinyakulia simu mpya aina ya Samsung A26, na kilele cha promosheni kinabeba ndoto za wengi, Bajaj mpya 2, Pikipiki Boxer, na TV ya Hisense inch 55. Kila droo ni nafasi mpya ya kubadilisha maisha.

Kwa wateja wa Mixx by Yas, kushiriki ni rahisi kuliko unavyodhani. Weka pesa kwenye akaunti yako ya Meridianbet kupitia Mixx Super App au kwa kupiga *150*01#, chagua Malipo ya Bili, kisha ingiza Namba ya Biashara 444999 na kiasi.

Droo za kila siku zinaendelea, huku droo za wiki zikifanyika kila Jumatano na Ijumaa. Huu si wakati wa kusubiri, ingia mchezoni, JIMIXX leo, cheza kwa kujiamini, na chukua Ushindi Bab Kubwaa na Meridianbet.

About The Author

error: Content is protected !!