December 1, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Sweet Holiday Chase za mwisho wa Mwaka zimerudi Meridianbet na Kitita cha kutosha

Kwenye kipindi hiki ambapo kila mmoja anatafuta sababu ya kutabasamu, Meridianbet imeleta kitu kipya kabisa, Sweet Holiday Chase, promosheni inayochanganya burudani, msisimko na bahati katika kifurushi kimoja kama zawadi za Krismasi. Kwa mfuko wa zawadi unaokadiriwa kufikia TSh 14,500,000,000/- hii si ofa ya kupita tu, ni fursa ya ushindi inayokukaribisha kuifungua kama sanduku la zawadi kila unapozungusha.

Hii ni promosheni inayoweka upekee wake kwenye urahisi. Kila beti unayoshiriki, bila kujali ukubwa wake, inahesabiwa. Hakuna vipingamizi, kila mmoja anaweza kushindana na kushinda. Na zaidi ya hapo, zawadi 125,000 hutolewa kila wiki, zikifanya kila siku unayoshiriki kuwa na ladha ya bahati.

Kushiriki katika safari hii tamu ni rahisi sana. Unahitaji tu kufanya japo mzunguko mmoja wa pesa halisi kwenye mchezo ulioshirikishwa, na tayari unakuwa ndani ya mbio. Hakuna kujiandikisha wala utaratibu mrefu, na msimu wa zawadi unaanza.

Utajiri wako upo kwenye michezo ya Kasino siku ya leo ingia na ucheze Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.

Kwa upande wa ushindi, Sweet Holiday Chase imebeba ule msisimko wa ushindi usiotarajiwa ambapo kila mchezaji anautamani. Kila mzunguko unaweza kutoa zawadi ya papo hapo. Ni kama kukuta zawadi chini ya mti wa Krismasi ikiwa na jina lako bila kujua ni nani aliiweka.

Lakini tamati ya mchezo ndiyo tamu zaidi. Sweet Holiday Chase inakupa nafasi ya kuondoka na mizunguko ya bure, au ushindi unaoweza kufikia hadi mara 500 ya dau lako. Huu ni msimu wa kufanya mambo yabadilike kwa sekunde chache kutoka mzunguko mmoja hadi furaha ya ushindi mkubwa. Meridianbet imeweka zawadi, iwe jukumu lako sasa kuzipitia moja baada ya nyingine.

About The Author

error: Content is protected !!