November 28, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Meridianbet yazidi kutoa faraja, hospitali ya Ndumbwi yapata msaada muhimu

 

Meridianbet, kampuni kinara ya ubashiri nchini Tanzania, imeonyesha mshikamano thabiti na jamii kwa kutoa mashuka mapya kwa Hospitali ya Ndumbwi. Kitendo hiki kimezidi kudhihirisha kuwa biashara inaweza kuwa chachu ya faraja na msaada kwa wananchi, huku ikichangia moja kwa moja kuboresha huduma muhimu za afya.

Afisa Habari wa Meridianbet, Nancy Ingram, alieleza kuwa msaada huu ni sehemu ya sera ya kampuni ya kuwekeza katika maendeleo ya kijamii. Alisisitiza kuwa Meridianbet imekuwa mstari wa mbele kupunguza changamoto zinazokabili sekta nyeti ya afya, huku ikizingatia dhamira ya kutoa msaada unaogusa maisha ya kila Mtanzania.

“Meridianbet imekuwa mstari wa mbele katika kuisaidia jamii, na leo tupo hapa Ndumbwi kama sehemu ya dhamira yetu endelevu ya kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora, hasa katika sekta nyeti ya afya.”

Utajiri wako upo kwenye michezo ya Kasino siku ya leo ingia na ucheze Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.

Kwa upande wa Hospitali ya Ndumbwi, msaada huu ulipokelewa kwa shukrani nyingi. Viongozi wa hospitali walisema mashuka mapya yatasaidia kuboresha mazingira ya wagonjwa, kuongeza usafi, na kupunguza mzigo uliokuwa ukikabili wodi zilizokuwa zikikosa vifaa vya msingi. Msaada huu umeibua matumaini mapya katika jitihada za kutoa huduma bora kwa wagonjwa.

“Msaada huu umefika kwa wakati muafaka, na tunathamini sana kujali kwenu jamii yetu. Mashuka haya yataboresha hali ya wodi zetu na huduma tunazotoa,” alisema mmoja wa viongozi wa hospitali, akionyesha jinsi msaada wa Meridianbet unavyogusa maisha ya wananchi moja kwa moja.

Kwa muda mrefu sasa, Meridianbet imekuwa mstari wa mbele katika miradi ya kijamii kupitia CSR, ikichangia kwa dhati kwa shule, vituo vya watoto yatima, vikundi vya wanawake, na hospitali mbalimbali nchini. Hatua hii ya Hospitali ya Ndumbwi inathibitisha kuwa mafanikio ya kampuni yana nguvu zaidi pale yanapokuwa na athari chanya kwa jamii, na Meridianbet inaendelea kuchukua hatua thabiti kuendeleza ustawi wa wananchi.

About The Author

error: Content is protected !!