
MERIDIANBET inawaletea wapenzi wa michezo fursa ya kipekee ya kushinda simu mpya ya Samsung A26. Kuanzia 01 Oktoba hadi 30 Oktoba 2025, wachezaji wote wapya wanaojiandikisha na Meridianbet wana nafasi ya kushinda simu hii bila gharama yoyote ya ziada.
Ili kushiriki kwenye droo hii ya kipekee, mchezaji anatakiwa kuweka na kucheza dau la angalau Tsh. 5,000 kila wiki kwenye ligi yoyote ya mpira wa miguu. Kila wiki, wachezaji wawili watapewa Samsung A26 mpya, na jumla ya Simu nane za Samsung A26 zinategemewa kushikiliwa na wachezaji wenye bahati.
Promosheni hii inapatikana kwa watumiaji wote waliojisajili kupitia tovuti ya Meridianbet (meridianbet.co.tz) au kupitia app ya Meridianbet. Kadri unavyocheza zaidi, ndivyo nafasi yako ya kushinda zinavyoongezeka.
Meridianbet inatoa michezo ya kasino kama Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli, na mengi zaidi, kila mchezo ni fursa ya kupata ushindi mkubwa. Shiriki kwa kupiga *149*10# au tembelea meridianbet.co.tz na ufurahie dunia ya ushindi inayoendelea kila dakika.
Promosheni hii inatumika kwa akaunti moja kwa kila mtumiaji, na Meridianbet ina haki ya kubadilisha masharti au kuahirisha promosheni yoyote bila taarifa ya awali. Tiketi za Turbocash na zile za mfumo hazihusishwi kwenye droo hii.
Meridianbet si jukwaa la kubashiri tu, bali ni mahali ambapo kila mchezaji ana nafasi ya kushinda zawadi za kipekee huku akifurahia burudani ya michezo ya mpira na kasino. Hii ni fursa ya kipekee ya kujiinua kiuchumi huku ukifurahia burudani isiyo na kikomo.
ZINAZOFANANA
Vodacom, Bolt kutoa punguzo kwa kila safari kupitia Tuzo Points
Slotopia, mtoa huduma mpya aliyeleta mzuka mpya Meridianbet.
Meridianbet yaunga mkono michezo, yadhamini “Chanika Veteran Bonanza 2025”