October 11, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Bashiri mechi za kufuzu Kombe la Dunia Jumamosi ya leo

Timu kubwa za Ulaya kama Ureno, Uhispania, Italia na nyingine nyingi zinashuka uwanjani kwenye mechi muhimu za kufuzu Kombe la Dunia 2026. Hii ni fursa yako ya kuchukua mpunga wako na Meridianbet.

Bulgaria inahitaji ushindi mkubwa leo dhidi ya Uturuki, ambao wako juu kwa tofauti ya pointi 3. Kwa kuwa hawajapata alama yoyote, Bulgaria inahitaji kuonyesha nguvu uwanjani. ODDS za Meridianbet ziko juu, hivyo ni wakati wa kuweka jamvi lako.

Hispania itakabiliana na Georgia, tofauti yao ni pointi 3 pekee. Mechi tano za mwisho kati ya timu hizi Uhispania imeongoza, huku Georgia akimfuata. Ushindi leo ni muhimu kwa kila timu. Chukua nafasi yako leo na ODDS za kibabe zilizowekwa na Meridianbet.

Baada ya kupoteza dhidi ya Ureno, Hungary inataka kurekebisha rekodi. Leo watakuwa wenyeji wa Armenia, ambao wako nafasi ya pili kwenye kundi. Tofauti ya pointi ni 2 pekee, huku historia ikionyesha Hungary kushinda 2-0 mwaka 2004. Hii ni nafasi yako ya kubashiri.

Usisahau kasino ya mtandaoni, chukua nafasi kwenye michezo kama Poker, Keno, Roulette, Aviator na Superheli. Ingia sasa na ongeza nafasi zako za kushinda. Piga *149*10# au tembelea meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.

Ureno inakabiliana na Ireland katika mechi ya mtanange wa Kundi F. Ureno ipo kileleni kwa tofauti ya pointi 5, huku Ireland ikiwa mkia wa kundi. Meridianbet inakupa ODDS kubwa ya kushinda mwenyeji. Je, pesa yako unampa nani leo?

Norway, kinara wa kundi akiwa na pointi 15 baada ya kushinda michezo yote mitano, itakuwa mwenyeji wa Israel yenye pointi 9. Mechi ya mwisho kati ya timu hizi Norway ilishinda kwa nguvu. Chukua nafasi yako leo na ODDS zilizopo Meridianbet.

Estonia akiwa nafasi ya tano anakutana na Italia akiwa nafasi ya pili. Tofauti yao ni pointi 6, na mechi ya mwisho Italia ilishinda 5-0 ugenini. Leo hii, nani atatoka na ushindi? ODDS za kibingwa zimewekwa na Meridianbet.
Serbia itakuwa mwenyeji wa Albania leo. Tofauti ni alama moja tu, Albania ikiwa nafasi ya pili na alama 8, Serbia nafasi ya tatu na alama 7. Nani ataondoka na alama tatu? Hii ni nafasi yako ya kuchukua mpuga na kushinda.

About The Author

error: Content is protected !!