Ni siku nyingine ya soka la kukata na shoka duniani kote. Mashabiki wameshika simu zao, wapenzi wa kubashiri wamesimama kidete kwani mechi za kufuzu Kombe la Dunia ndizo sehemu sahihi ya kuchukua hela kirahisi. Meridianbet wapo kazini kuhakikisha una beti ya ushindi mkononi, zikiwa na ODDS kubwa na machaguo zaidi ya 1000 kwa kila mchezo.
Kwenye ardhi ya Berlin, Ujerumani wanawakaribisha Luxembourg kwa mchezo unaotabiriwa kuwa wa upande mmoja. Mwaka 2006 timu hizi zilipokutana, Luxembourg walipokea kipigo cha mabao 7-0. Leo tena, Ujerumani wamerudi uwanjani wakiwa na kikosi kilichojaa nyota wa dunia wakiongozwa na wachezaji wa Bundesliga. Swali ni moja, je, utaweka bet yako kwa mabao mangapi? Meridianbet wamepanga ODDS zinazovutia, chagua upande wa ushindi sasa.
Kule Belfast, Northern Ireland wanahitaji ushindi ili kurudi kwenye mstari, lakini mbele yao kuna Slovakia waliyo kwenye kiwango cha juu msimu huu. Vijana wa Michael O’Neill wanajua hawana nafasi nyingine ya kupoteza pointi. Huu ni mchezo wa mikakati, presha na uamuzi sahihi wa kubashiri. ODDS kubwa zipo Meridianbet pekee
Ukiwa bado kwenye hali ya ushindi, Meridianbet hawajakuacha nyuma. Ingia kwenye michezo ya kasino kama Roulette, Aviator, Poker, Superheli, na Keno. Kila mchezo ni nafasi mpya ya kushinda zaidi. Piga 14910# au tembelea meridianbet.co.tz sasa kwani dunia ya ushindi inakusubiri.
Miamba wa Ulaya, Sweden na Switzerland wanakutana tena, safari hii ndani ya Strawberry Arena. Mwaka 2018 Sweden waliwapa Switzerland kipigo cha bao 1-0 kwenye Kombe la Dunia. Leo hii, timu zote zipo katika kiwango kizuri na kila upande unataka kuthibitisha ubora wake. Kwa ODDS kubwa kama hizi, ni wewe tu uamue upande wa kushinda. Bashiri sasa.
Kosovo wanarejea nyumbani wakiwa na matumaini ya kutafuta alama tatu muhimu dhidi ya Slovenia. Hata hivyo, historia haiko upande wao kwani walishapoteza mara mbili dhidi ya wapinzani hao. Slovenia bado hawajapata ushindi tangu kuanza kwa kampeni hizi, na leo wanataka kuvunja mwiko huo. Meridianbet wameipa mechi hii machaguo maalum ya kipekee.
Kule Paris, macho yote yatakuwa kwa Les Bleus watakaopambana na Azerbaijan. Didier Deschamps na vijana wake wanataka kuendelea kuongoza kundi lao kwa kishindo, wakiwa hawajapoteza mchezo wowote. Azerbaijan, kwa upande mwingine, wanahitaji miujiza kuibuka na matokeo. Kwa ODDS zilivyo pale Meridianbet, ni wazi Ufaransa wapo njia moja tu, ushindi.
Mchezo wa kufunga pazia utapigwa Laugardalsvoellur, Iceland kati ya Iceland na Ukraine. Wenyeji wanashika nafasi ya pili wakiwa na alama tatu, huku Ukraine wakifuatia nafasi ya tatu wakiwa na alama moja. Timu zote zinahitaji ushindi ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kusonga mbele. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS kubwa na machaguo zaidi. Bashiri, jishindie zaidi.
ZINAZOFANANA
Mechi za kufuzu Kombe la Dunia zimekuja na pesa
Nafasi ya kuwa milionea na Meridianbet hii hapa
Siku ya kutusua na Meridianbet hii hapa