October 7, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Kutekwa Polepole, Mawakili wake wamshtaki IGP, AG, DPP, ZPC

Humphrey Polepole

 

MAWAKILI wa Humphrey Polepole walioongozwa na Peter Kibatala wamefungua kesi yenye maombi maalum kwa niaba ya Polepole katika Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam ya kuzitaka mamlaka husika kumfikisha mahakamani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Jana tarehe 6 Oktoba taarifa za kutekwa kwa mwanadiplomasia huyo nyumani kwake Mbweni jijini Dar es Salaam.

Leo tarehe 7 Oktoba Kibatala na mawakili wenzake wamfungua maombi kwenye mahakama hiyo ya kuwataka

Mkuu wa Jeshi la Polisi, Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) na Mkuu wa Upelelezi wa Kanda Maalumu Dar es Salaam (ZCO) na Kamanda wa Polis Kanda Maalum Dar es Salaam (ZPC), kuhakikisha polepole anafikishwa mahakamani.

About The Author

error: Content is protected !!