
Kama kawaida mechi za Uefa zinaendelea siku ya leo ambapo mechi kali zipo hapo baadae. Mteja wa Meridianbet unaweza kusuka jamvi lako la uhakika hapa na kuweka dau lako sasa. Unangoja nini?. Bashiri na mabingwa leo.
Bashiri mechi ya Club Brugge dhidi ya AS Monaco kutoka kule Ufaransa ambao leo hii kushinda mechi hii wamepewa ODDS 2.60 kwa 2.60, yaani timu zote zimepewa Odds sawa. Kila timu inataka kuanza vyema kwenye michuano hii. Tengeneza jamvi lako la uhakika na Meridianbet na ubeti hapa.
Muda huo huo wa saa 1:45 usiku, katika dimba la Parken moto utawaka kati ya FC Copenhagen dhidi ya Bayer Leverkusen ya Ujerumani. Takwimu zinaonesha kuwa mechi 3 za mwisho kukutana kwenye michuano yote Leverkusen ameondoka na ushindi. Je leo hii ni siku ya mwenyeji kulipa kisasi akiwa nyumbani kwake?. Tandika jamvi mechi hii yenye ODDS 3.05 kwa 2.40.
Je unajua kuwa michezo ya Kasino inaweza kukupatia pesa siku ya leo ingia na ucheze Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.
Vita kali itakuwa pale katika dimba la St Jame’s Park kule Uingereza ambapo Newcastle United wataumana dhidi ya FC Barcelona ambao wana makombe ya UEFA 5 hadi sasa. Vijana wa Eddie Howe msimu huu wamekuwa wakichechemea kwenye ligi, lakini ndio wanapewa nafasi ya kushinda mechi hii ya leo wakiwa na ODDS 2.60 kwa 2.65. Je Hans Flick na vijana wake wataanzaje michuano hii?. Jisajili sasa.
Kwa upande wa Napoli wao wao watakuwa ugenini leo kukipiga dhidi ya Manchester City katika dimba la Etihad. City wametoka kushinda kwa kishindo kwenye mechi ya Derby, halikdhalika Naples nao wameendeleza ushindi wao baada ya kushinda mechi zao zote na hivi sasa wapo kileleni kwenye msimamo wa ligi. Kwenye mechi 4 za mwisho kukutana, City ameshinda 2, watatoa sare 1 na mgeni akishinda 1. Bashiri mechi hii yenye ODDS 1.72 kwa 4.90.
Eintracht Frankfurt watakipiga dhidi ya Galatasaray ya kule Uturuki ambao ndio mabingwa wa ligi hiyo. Mwenyeji anakipiga kule UJerumani huku leo akiwa ndiye anayepewa nafasi ya ushindi akiwa na ODDS za kibabe kabisa za 2.30 kwa 2.90. Kila timu inataka ushindi siku ya leo. Je wewe beti yako unaiweka kwa nani siku ya leo?. Tandika jamvi na Meridianbet.
Vilevile Sporting Lisbon watakuwa kibaruani dhidi ya FC Kairat Almaty ambao hawapewi nafasi kabisa ya kuondoka na ushindi siku ya leo kwani wamepewa ODDS 23 kwa 1.12. Mwenyeji anapata faida ya kushinda kutoka na uwezo mkubwa ambao anao pamoja na uwepo wa nyumbani. Mechi hii pia ina machaguo zaidi ya 1000. Suka jamvi hapa.
ZINAZOFANANA
Je nani kukupatia maokoto siku ya leo?
Nafasi ya kutusua na Meridianbet ipo hapa
Tusua kibingwa na Meridianbet siku ya leo