
Meridianbet, jina kubwa katika ulimwengu wa kubashiri Tanzania, limezindua promosheni kabambe ya Playson Short Races, mashindano ya kila usiku yanayowapa wachezaji nafasi ya kujinyakulia mamilioni kwa kasi ya ajabu. Kuanzia Septemba 9 hadi mwisho wa mwezi huu, mashindano haya yatafanyika kila siku kuanzia saa 4:00 usiku hadi saa 8:50 usiku kwa saa za Afrika Mashariki, yakitoa zawadi zinazofikia jumla ya TZS bilioni 6.
Kigezo cha kushiriki ni kuwa na akaunti hai ya Meridianbet. Mchezaji yeyote aliyesajiliwa anaweza kuingia kwenye mbio hizi kwa kuweka dau la TZS 600 au zaidi kwenye sloti yoyote ya Playson inayoshiriki. Kila ushindi unakupa alama kwenye jedwali la uongozi, kwa mfano, ushindi wa TZS 3,000 unakupa alama 10, huku TZS 30,000 ikikupa alama 100. Hakuna usumbufu wa usajili wa ziada na michezo yote ya Playson inayoshiriki imejumuishwa moja kwa moja.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Mashindano haya yameundwa kwa ustadi ili kumwezesha kila mchezaji hata yule anayeanza safari yake ya kasino mtandaoni kushiriki kwa urahisi na kujipatia nafasi ya ushindi mkubwa. Na kwa kuwa Meridianbet inaelewa thamani ya muda wako, malipo ya zawadi hufanyika ndani ya siku tatu tu baada ya mashindano kumalizika, moja kwa moja kwenye akaunti yako.
Zawadi hizi zinapatikana kwa wachezaji wanaotumia pesa halisi pekee, na Meridianbet inahifadhi haki ya kurekebisha matokeo au zawadi endapo kutatokea hitilafu za kiufundi, udanganyifu au ukiukaji wa masharti ya promosheni.
Usikubali nafasi hii ipite bila kuchukua hatua. Tembelea meridianbet.co.tz au pakua app ya Meridianbet sasa, cheza sloti za Playson ujikusanyie alama, na uandike jina lako kwenye jedwali la washindi kwani bahati haingoji mtu.
ZINAZOFANANA
Meridianbet kutoa mizunguko ya bure kupitia Wild White Whale
SBL, NCT wawawezesha vijana kupitia mafunzo ya ukarimu Arusha
Meridianbet na mlima wa fursa kwa wacheza kasino mtandaoni