August 21, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Bilionea mpya, TZS 14,996,310.99 zimepatikana kwa dau dogo

 

Katika dunia ya kubashiri michezo, kila siku ni fursa mpya ya kushinda, lakini mshindi wa hivi karibuni amefanya jambo la kipekee, yaani kafanikiwa kubadilisha dau dogo la TZS 3,055/= kuwa ushindi mkubwa wa TZS 14,996,310/= Yote haya yalifanikishwa kwa urahisi mkubwa kwa kuweka jamvi kupitia huduma ya USSD ya Meridianbet. Hadithi hii inathibitisha kuwa kiasi kidogo pamoja na uangalifu na ustadi, kinaweza kubadilisha maisha haraka.

Kwa kutumia USSD, mshindi huyu aliweka dau lake kwa kupiga tu *149*10#, njia rahisi na ya haraka ambayo haina haja ya intaneti au simu za kisasa. Aliamua kubashiri mechi nane za mpira wa miguu za kimataifa, kila moja ikiwa na matokeo aliyoyabashiri kwa ustadi mkubwa. Odds zilikuwa 4,908.78, zikijumuisha mechi kama:

NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi. Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.

Sparta Prague vs SK Sigma Olomouc (1X, 2.60)

National Bank of Egypt SC vs Ghazl El Mahallah (X, 2.89)

Pharco FC vs Enppi Club (X, 2.55)

Volos Nps vs Panserraikos FC (X, 3.47)

Corum FK vs Amed Sportif Faaliyetler (1, 3.09)

BB Bodrumspor vs Pendikspor (X, 4.01)

Eyupspor vs Konyaspor (2, 3.04)

CR Vasco da Gama RJ vs Atletico Mineiro MG (1X, 1.96)

Meridianbet imeendelea kujijengea sifa kwa kutoa jukwaa rahisi, lenye odds za ushindani na chaguzi nyingi za kubashiri. Huduma ya USSD imefungua milango kwa wachezaji wengi, hasa wale wasio na intaneti ya kasi ya juu au simu za kisasa. Ushindi huu ni mfano halisi wa jinsi ambavyo teknolojia rahisi inaweza kubadilisha maisha na kutoa fursa za kushiriki kwa urahisi na ufanisi.

Dau dogo la TZS 3,055/= limeweza kumuwezesha mshindi kubadilisha maisha yake, na sasa uamuzi ni wake mwenyewe kuhusu matumizi iwe kwa uwekezaji katika biashara, elimu, au starehe ya maisha. Meridianbet inahimiza wachezaji kujaribu bahati yao, huku ikisisitiza umuhimu wa kubashiri kwa mikakati.

Uenda zamu ijayo ikawa yako. Anza sasa kwa kubofya *149*10#, au mtandaoni kupitia meridianbet.com au app ya simu. Jiunge na maelfu ya wachezaji wanaofurahia kubashiri na uwe sehemu ya hadithi nyingine ya ushindi.

About The Author

error: Content is protected !!