July 4, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Meridianbet kutoa Bajaj Mpya na safari ya Z’bar kwa watumiaji wa Airtel Money

Meridianbet, kwa ushirikiano na Airtel Money, imezindua kampeni mpya ya kusisimua inayowapa fursa wateja wake kushinda zawadi kubwa na free spins kila siku. Kampeni hii, inayoitwa “Shinda Kibabe,” inaleta msisimko kwa wapenzi wa michezo na kasino nchini Tanzania kwa kuwapa nafasi ya kushinda zawadi za thamani ya juu na za kuvutia.

Ili kushiriki, unahitaji kuweka angalau TZS 25,000 kupitia Airtel Money kwenye akaunti yako ya Meridianbet na kutumia kiasi hicho kubashiri michezo au kucheza kasino. Kila unapofanya hivyo, unapata nafasi ya kushinda zawadi kwenye droo za bahati nasibu, na kadri unavyoweka zaidi, ndivyo nafasi yako ya kushinda inavyozidi kuongezeka.

Kila siku unapoweka TZS 25,000 au zaidi kupitia Airtel Money, utapokea mara moja 250 free spins kwenye mchezo wa PIA, ambazo zinaweza kukupa hadi TZS 20,000 pesa halisi. Hii inakupa fursa ya kuongeza mafanikio yako kwenye kasino huku ukiwa na nafasi ya kushinda zawadi kubwa zaidi.

NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.

Kampeni hii inatoa zawadi nyingi za thamani, ikiwemo pikipiki mpya ya Bajaj, safari ya siku mbili Zanzibar kwa watu wawili, TV za Hisense, na simu 20 za Samsung A25. Pia, kuna fursa ya kupata 10% cashback kwa hasara zako za kila wiki, hadi TZS 2,500,000, kama njia ya kukusaidia kurejesha baadhi ya fedha ulizozitumia.

Droo za bahati nasibu zitafanyikia Makao Makuu ya Meridianbet huko Upanga, na washindi watatangazwa kwa uwazi. Masharti ni rahisi, ni lazima uwe na umri wa miaka 18 na kuwa na akaunti halali ya Meridianbet huku depositi zote zikipaswa kufanywa kupitia Airtel Money, na tiketi za system pamoja na za Turbocash hazitakubalika kwa ajili ya kupata free spins.

Kampeni hii imeanza tarehe 23 Mei 2025 na itaisha 23 Agosti 2025. Kwa hivyo, usikose fursa hii ya kushinda zawadi kubwa na kufurahia michezo ya kasino kwa free spins kila siku. Jiunge leo na uwe mshindi kwenye kampeni hii ya kipekee.

About The Author

error: Content is protected !!