
Meridianbet, kinara wa michezo ya kubashiri na kasino mtandaoni nchini Tanzania, sasa inawapa wateja wake ofa kabambe ya kila siku kupitia ushirikiano wake na Halopesa. Kuanzia sasa hadi Desemba 31, 2025, wateja wote wanaoweka pesa kwa mara ya kwanza kila siku kwa njia ya Halopesa Push watapokea bonus ya 20% ya kiasi walichoweka, hadi kufikia kiwango cha juu cha TZS 50,000 kwa siku.
Weka pesa kupitia Halopesa kwenye akaunti yako ya Meridianbet. Kisha, tumia kiasi hicho mara mbili kwenye kubashiri michezo au kucheza kasino mtandaoni siku hiyo hiyo. Kwa mfano, ukitumia TZS 10,000 kupitia Halopesa, utapokea TZS 2,000 kama bonus.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi. Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Kwa wapenzi wa kubashiri michezo, hakikisha tiketi yako ina odds za jumla zisizopungua 3, na zinazokamilika ndani ya siku hiyo hiyo. Tiketi yoyote iliyofanyiwa cash out haitahesabiwa katika masharti ya bonus. Kwa wachezaji wa kasino mtandaoni, michezo ya sloti iliyochezwa ndani ya siku hiyo ndiyo inayojumuishwa kwenye masharti ya ofa.
Bonus inayotolewa itatumika kwenye tiketi moja pekee yenye jumla ya mechi nne au zaidi, ambapo kila mechi inapaswa kuwa na odd ya 1.5 au zaidi. Malipo ya juu zaidi unayoweza kuvuna kupitia bonus hii ni TZS 100,000.
Ni muhimu kuelewa kuwa wateja wanaruhusiwa kupata bonus moja tu kwa siku, na kabla ya kupata bonus nyingine, ni lazima wawe wametumia kikamilifu bonus ya awali.
Jisajili sasa na meridianbet kisha anza kutumia halopesa kufanya miamala yako ili bonus za namna hii ziwe zikikufikia moja kwa moja.
ZINAZOFANANA
Meridianbet yawafikia wakazi wa Magomeni, Manzese
Shinda sehemu ya bilioni 1.5 ya Lucky Rush
NBC ‘yawanoa’ wataalam teknolojia ya Huduma za Fedha ili kuchochea uchumi jumuishi