March 6, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Mabondia wanawake wapewa truck suits na Meridianbet

IKIWA leo hii ni tarehe 6 mwezi Machi wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet katika kuendeleza usawa na kukuza michezo ya wanawake, Meridianbet imetoa msaada wake kwa wanawake mabondia kwa kugawa mavazi maalum ya truck suits. Mavazi haya yataenda kutumika kwa mabondia wanaojiandaa kushiriki michuano ya ngumi inayotarajiwa kufanyika huko Serbia tarehe 9 mwezi huu.

Meridianbet inaendelea kuunga mkono maendeleo ya michezo ya wanawake kwa kutoa mavazi ya truck suits, ambayo ni muhimu kwa faraja na ustawi wa mabondia katika safari zao ndefu. Mavazi haya yatakuwa na manufaa kwa mabondia hawa wakati wanajiandaa kwa michuano ya ngumi ya kimataifa, kwani yatawapa uhuru na faraja wakati wa mazoezi na safari.

Europa league imekuja na mpunga wa maana leo ingia na ubashiri sasa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Msafara huo wa kugawa truck suits, Meridianbet ilikutana na Mwenyekiti wa Kamati ya Wanawake la Shirikisho la Ngumi za Ridhaa Tanzania (BFT), Bi Asha George Voniatis pamoja na timu ya mabondia watakaoiwakilisha Tanzania kwenye mashindano hayo ya Kimataifa.

Naye Nancy Ingram ambaoye ndiye mwakilishi wa Meridianbet alielezea furaha yao katika kuwasaidia mabondia hao na kuonesha matumaini yao kwa timu, “”Leo tunafuraha sana kuonana na wachezaji hawa mabingwa kabisa. Tuna imani kubwa kuwa watapambana kwa nguvu na kurudi na ushindi nyumbani!”

Ugawaji huu wa mavazi ya michezo ni sehemu ya mpango wa Meridianbet wa kusaidia wanamichezo wa Kitanzania kwa kuhakikisha wanakuwa na vifaa stahiki wanapoenda kushiriki mashindano ya kimataifa.

Ikumbukwe kuwa wiki hii ni Wiki ya Siku ya Wanawake Duniani, inayofikia kilele chake tarehe 8 Machi. Kama kampuni inayotambua mchango mkubwa wa wanawake katika jamii, Meridianbet imeamua kuungana na wanawake hawa mabondia katika safari yao ya mashindano ya ubingwa wa ngumi ili kuwapa hamasa na kuwatia moyo.

Kwa miaka mingi, Meridianbet imeendelea kuwa mstari wa mbele kusaidia michezo na wanamichezo wa Tanzania, kwa lengo la kuhakikisha vipaji vya ndani vinapewa nafasi ya kung’ara kimataifa. Kampuni itaendelea kuwekeza katika maendeleo ya michezo kwa kuhakikisha wanamichezo wa Tanzania wanapata msaada unaohitajika ili kufanikisha ndoto zao.

Kwa hiyo, msaada wa Meridianbet kwa wanawake mabondia ni uthibitisho wa kujitolea kwao katika kukuza michezo ya wanawake na kuunga mkono mabondia wa kike katika safari zao za kimataifa. Jisajili hapa.

About The Author

error: Content is protected !!