February 27, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Meridianbet yashirikiana na jamii kupanda miti

Ikiwa leo hii ni Alhamisi wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet wameendelea na kurejesha kwenye jamii ambapo leo hii waliamua kuwafikiwa wakazi wa Mbezi Juu kwaajili ya zoezi zima la upandaji miti.

Zoezi hili limefanyika kwa ushirikiano mkubwa na wafanyakazi wa Meridianbet, wananchi wa hapo Mbezi ambao waliwapokea Meridianbet kwa furaha kubwa zaidi wakiongozwa na kiongozi wa eneo hilo.

Kupitia mpango huu wa kijamii, Meridianbet inajitolea kuhakikisha kwamba mazingira yanaboreshwa na vyanzo vya hewa safi vinahakikisha ustawi wa jamii. Lengo kuu la zoezi hili ni kupanda miti ili kulinda mazingira, kupunguza uharibifu wa mifumo ya asili, na kuhamasisha jamii kutunza mazingira.

Kumbuka kuwa ili kupiga pesa zaidi, cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Zoezi hilo lililohusisha kupanda miti mingi ya aina mbalimbali limeleta athari chanya kwa jamii ya Mbezi Juu, huku wananchi wakielewa umuhimu wa miti katika kuhifadhi vyanzo vya maji, kuboresha hali ya hewa, na kuongeza uzuri wa mandhari.

Meridianbet, kupitia mpango huu, inaendelea kujitolea kwa jamii kwa kuimarisha uhusiano wake na wananchi na kuchangia katika maendeleo endelevu ya mazingira na jamii kwa ujumla. Kampuni hii inaendelea kuwa kielelezo cha uwajibikaji katika jamii na kuhamasisha ushirikiano katika uboreshaji wa mazingira.

Akizungumza wakati wa tukio hilo, Mwakilishi wa Meridianbet alisema: “Sisi kama Meridianbet tunaamini katika kuleta mabadiliko chanya kwenye jamii tunayohudumia. Kupitia mpango huu wa upandaji miti, tunalenga kuboresha mazingira na kuhakikisha kizazi cha sasa na kijacho kinapata faida za miti, ikiwa ni pamoja na hewa safi na ardhi yenye rutuba. Tunawashukuru wote walioungana nasi katika kampeni hii muhimu.”

Meridianbet imekuwa mstari wa mbele katika kutekeleza miradi ya kijamii (CSR) kwa kuwekeza katika mazingira, elimu, afya, na maendeleo ya jamii kwa ujumla. Kampuni inaendelea kujitolea kwa dhati kuboresha maisha ya Watanzania kupitia programu mbalimbali za kijamii.

Lakini kumbuka kuwa siku ya leo unaweza ukabashiri na Meridianbet mechi za leo kwani ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Jisajili hapa.

About The Author

error: Content is protected !!