
Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Private Sector Foundation, Raphael Maganga (katikati) alipotembelea banda la Serengeti Breweries Limited kwenye viwanja vya Nane Nane mjini Dodoma kujionea shughuli zinazofanywa na kampuni hio katika uzalishaji bia kupitia mazao wanayonunua kutoka kwa wakulima nchini. Wa kwanza kulia ni afisa kilimo biashara wa SBL, Aloyce Kimaro na wa kwanza kulia ni Meneja mahusiano ya serikali wa SBL, Neema Temba.

ZINAZOFANANA
Tanzania yaibuka kinara wa utalii duniani
TRA yawataka wanachama wa SACCOS kuhamasisha ulipaji kodi
Badili mizunguko yako kuwa tuzo na Holiday Drops 2025 kutoka Meridianbet