February 22, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

UEFA Europa League moto utawaka leo

 

MOTO utawaka sana leo kwenye michezo ya Uefa Europa League ambapo timu zitatafuta nafasi ya kwenda kucheza hatua ya 16 bora, Huku mdau wewe ukipata fursa ya kujishindia maokoto ya kutosha.

Michuano ya Europa League imekua ikitoa mkwanja wa kutosha kila mara na leo ndio ile siku yenyewe ya kuhakikisha unajipigia maokoto ya kutosha, Kwani michezo ya leo imepewa Odds bomba sana pale kwenye tovuti ya mabingwa wa michezo ya kubashiri Meridianbet.

Fc Porto baada ya kutoka sare ya 1-1 wakiwa nyumbani dhidi ya As Roma leo watakua ugenini kuhakikisha wanapata nafasi ya kufuzu hatua inayofuata, Huku Roma nao wakiamini wana nafasi ya kufuzu kwani mchezo bado upo wazi ni kama unaenda kuanza moja kwenye dimba la Olympico.Mchezo huu umepewa Odds bomba pale Meridianbet Bashiri sasa.

Mchezo mwingine wa Uefa Europa League ambao utapigwa leo ni kati ya Bodoe/Glimt Vs Fc Twente ambapo Mchezo wa kwanza Fc Twente walishinda 2-1 wakiwa nyumbani, Huku leo Bodoe wakiwa mwenyeji watahitaji kupindua meza ili kusonga hatua ya 16 bora hivo ni mchezo mkali ambao unaweza kukupa mkwanja.

Mechi za Ligi ya Mabingwa Ulaya kukupa pesa leo. Bashiri na Meridianbet leo. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Ajax leo watakua nyumbani kuhakikisha wanapigilia msumari nafasi yao ya kufuzu hatua ya 16 bora baada ya kushinda kwa 2-0 dhidi ya Union St. Gillioise, Mchezo huu una Odds bomba kuanzia magoli mpaka ushindi kwa timu zote mbili weka ubashiri sasa ujishindie maokoto ya kutosha.

Galatasaray wanaweza kjiuliza leo? baada ya kufurumishwa kwenye mchezo wa kwanza wakiwa ugenini dhidi ya Az Alkmaar kwa mabao 4-1, Mabingwa hao watetezi wa Utruki wamepewa Odds nono sana pale Meridianbet. Bashiri leo unyakue mtonyo wa maana.

Klabu ya Fenerbahce leo watakua ugenini kumenyana na klabu ya Anderlecht kutoka nchini Ubelgiji huku wakiwa na faida ya mabao matatu kwenye mcheoz wa kwanza, Hivo kinachosubirwa ni kama Anderlecht wataweza kupindua meza na kufuzu hatua inayofuata. Mchezo huu una Odds nzuri sana pale Meridianbet Bashiri sasa ushinde

About The Author

error: Content is protected !!