January 4, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Nyakua milioni moja taslimu kupitia Expanse kasino

 

Shindano linafuatiliwa kwa karibu kwasasa mjini ni shindano la Expanse ambapo unaweza kuondoka na kitita cha shilingi milioni moja kupitia michezo ya kasino. Shiriki shindano hili kupitia Meridianbet ujiweke kwenye mazingira mazuri ya kua mshindi.

Meridianbet wamekuja na shindano la michuano ya kasino inayofahamika kama shindano la mabingwa ambapo mshindi ataondoka na kitita cha milioni moja taslimu, Shindano hili la mabingwa limeanza toka tarehe 12 mwezi huu wa 12.

Shindano hili litahusisha wateja wote ambao watakua wamejisajili na Meridianbet ambapo watapata fursa ya kuondoka na kitita hichio kabambe msimu huu wa sikukuu na kukufanya kufunga na kuanza mwaka kibabe kabisa.

Michezo ambayo itahusishwa kwenye shindano hili la mabingwa ni kama ifuatavyo Book of Eksimo, Book of Egypt, Fortune Farm, Sticky 777, Veni Vidi Vici, Forest Rock, Piggy Party, Battle for the Throne, na Bounty Hunters.

Ikumbukwe hakutakua na mshindi mmoja tu wa Milioni taslimu kwakua hili ni shindano basi washindi watachukua kitita kama ifuatavyo

Mshindi nafasi ya 1- Tshs 1,000,000

Changamkia fursa sasa kwa kushiriki shindano hili la kibingwa kipindi hiki cha sikukuu uweze kuipendezesha sikukuu yako kwani mpaka sasa zimebaki siku tisa tu kuelekea kilele cha shindano hilo mnamo tarehe 31 mwezi wa 12.

Mbali na kucheza michezo mbalimbali ya kasino lakini pia Meridianbet wanakukumbusha usiisahau kubashiri michezo mbalimbali kwani ligi mbalimbali barani ulaya na dunia nzima zinaendelea karibu kila siku.

NB: Jisajiri na Meridianbet upate bonasi kibao na kufurahia ushindi kila dakika unapobashiri michezo mbalimbali ikiwa na odds kubwa. Jisajili hapa.

About The Author

error: Content is protected !!