December 30, 2024

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Meridianbet yatangaza promosheni ya sikukuu ya Tamasha la Dau Bonanza

 

Katika Msimu huu wa sikukuu, Meridianbet inakuletea promosheni ya kipekee inayojulikana kama “Tamasha la Dau Bonanza.”

Kupitia promosheni hii, Meridianbet inatoa zawadi za kuvutia kama simu mpya, dau za bure, na bonasi za kipekee kwa wateja wanaoshiriki kupitia huduma ya USSD (*149*10#).

Hii ni nafasi ya kipekee ya kushinda zawadi kubwa msimu huu wa sikukuu. Kila dau unaloweka linaweza kuwa mlango wa ushindi wako!

Vigezo na Masharti ya Promosheni:

  • Wateja Wanaostahiki: Wateja wote wanaotumia huduma ya USSD (*149*10#) na kuweka dau ndani ya kipindi cha promosheni.
  • Muda wa Promosheni: Kuanzia 23 Desemba 2024 hadi 22 Januari 2025.
  • Mahitaji ya Tiketi:
    • Tiketi lazima iwe na mechi zisizopungua 3.
    • Kila mechi kwenye tiketi lazima iwe na odds zisizopungua 1.50.
    • Kiwango cha chini cha dau kwa tiketi ya kawaida ni TZS 500; kwa Jackpot (JP), kiwango kinabaki kuwa TZS 500.
  • Ushindi na Kushindwa: Tiketi zote, zilizoshinda na zilizoshindwa, zitahesabiwa katika promosheni hii.

Wateja wanaoshiriki katika “Tamasha la Dau Bonanza” watapata nafasi ya kushinda zawadi mbalimbali, zikiwemo simu mpya ya Samsung A15, bonasi, na dau za bure kutoka Meridianbet katika msimu huu wa sikukuu.

Mbali na Promoshen hii, Mabingwa wa kubashiri nchini wamekuwekea michezo mbalimbali ya kasino, sloti lakini pia wanakukumbusha usiisahau kubashiri michezo mbalimbali kwani ligi mbalimbali barani ulaya na dunia nzima zinaendelea karibu kila siku.

NB: Kama bado Hujajisajili na Meridianbet na unawaza wapi unaweza kujisajili na kupata promoshei hii au kubashiri mishezo, basi USIHOFU. BONYEZA HAPA kujisajili sasa.

About The Author

error: Content is protected !!