Leo imekua zamu ya Ali Maua Kijitonyama kufikiwa na kampuni ya Meridianbet ambapo wameendelea kufanya ambayo wamekua wakiyafanya mara kwa mara ambapo wamefanikiwa kutoa msaada kwa jamii.
Meridianbet wamefanikiwa kufika eneo la Kijitonyama Ali Maua leo na kutoa msaada kwafamilia mbalimbali ambazo zinapitia changamoto mbalimbali na zisizojiweza, Hii inaendeleakuonesha namna mabingwa hao wa kubashiri wanavyoijali jamii yao.
Kampuni hiyo kongwe imefanikiwa kutoa mahitaji ya nyumbani kwa familia hizo zinazopitiachangamoto na mahitaji ambayo wametoa ni kama Sukari, Mafuta, Mchele, Unga wa Ngano, pamoja Sabuni.
Meridianbet wameendelea kua mfano wa kuigwa kwa kuendelea kuhakikisha jamii yakeinanufaika na uwepo wao, Kwani huu ni utaratibu ambao wamekua nao miaka na miaka sasakuhakikisha jamii yake inanufaika na kile ambacho wamekua wakivuna.
Bado mabingwa wa michezo ya kubashiri Meridianbet wanaendelea kuhakikisha unapigwamkwanja wa kutosha kupitia michezo mbalimbali inayopigwa katikati ya wikii hii ambapowanaendelea kumwaga ODDS BOMBA kila siku.
Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Masoko ndani ya Meridianbet Bi Nancy Ingram alipatanafasi ya kuzungumza machache katika hafla hiyo “Tunafuraha leo sisi kama Meridianbetkuleta furaha na tabasamu katika hizi familia, tunatambua umuhimu wa kuwa na mahitaji yanyumbani, maana bila mahitaji haya familia haiwezi kuishi wala kufanya kazi, tumewezakuwashika kidogo mkono familia na zoezi hili ni endelevu kuwashika mkono familia zenyechangamoto kama hizi“
Aidha wakazi wa eneo la Kijitonyama eneo la Ali Maua ambao wameweza kupata msaada huokutoka Meridianbet wameweza kuzungumza machache lakini kubwa zaidi ni kutoa shukrani kwakile walichopokea, Huku wakitoa wito kwa makampuni mengine kuiga kile ambachokinafanywa na mabingwa hao wa michezo ya kubashiri.
ZINAZOFANANA
Burgeoning property market impresses Coldwell Banker Real Estate
40 Lucky Sevens ni ushindi tu
Cheza Beach Penalties ndio mpango mzima leo