BIASHARA Wild White Whale kukupa mizunguko 50 bure January 17, 2026 Erasto Masalu Meridianbet inakuleta kwenye ulimwengu wa Wild White Whale, ambapo kila mzunguko unaweza kubadilisha hali yako ya ushindi. Hapa, kila mchezaji ana nafasi ya kuwa nahodha wa bahari ya ushindi, kuonyesha…
HABARI ZA MICHEZO Leo ni siku yako ya ushindi na Meridianbet January 17, 2026 Erasto Masalu Jumamosi ya leo ni nafasi ya wewe kuondoka na ushindi ambao umekuwa ukiusubiria kwa muda mrefu. Timu za kukufanya uwe Milionea zipo leo hivyo unachotakiwa kufanya ni kutengeneza jamvi lako…
HABARI MCHANGANYIKO KIMATAIFA TANGULIZI Tume.yamtangaza Museven mshindi Urais Uganda January 17, 2026 Erasto Masalu TUME ya uchaguzi nchini Uganda imemtangaza Rais Yoweri Kaguta Museveni kama mshindi wa uchaguzi uliofanyika Alhamisi wiki hii, akiwa na jumla ya kura 7,946,772 ambayo ni asilimia 71.65% ya kura…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO HABARI ZA AFYA Meridianbet yazidi kuzingatia ustawi wa Afya ya Mama na Mtoto January 16, 2026 Erasto Masalu Meridianbet imeendelea kuthibitisha dhamira yake ya kugusa maisha ya watu kwa vitendo, kwa kuwekeza katika afya na ustawi wa mama wajawazito pamoja na wale waliojifungua hivi karibuni. Mpango huu wa…
HABARI ZA MICHEZO Pesa ipo Meridianbet leo January 16, 2026 Erasto Masalu Nafasi ya kuondoka na Mamilioni ipo Meridianbet leo kwani mechi nyingi za ushindi zipo leo. Wakali wa ubashiri Tanzania wanakwambia kuwa ingia kwenye akaunti yako na uanze safari yako ya…
BIASHARA Lucky Loser kukupa uhakika wa furaha hata ukipoteza January 15, 2026 Erasto Masalu Meridianbet inajivunia kuanzisha Lucky Loser, mpango wa kipekee ulioundwa kuboresha uzoefu wa Win&Go na kuhakikisha kila tiketi inatoa nafasi ya kupata faida, hata pale matokeo yanapokuwa kama ulivyotarajia. Mpango huu…
BIASHARA Kwa taarifa zaidi ingia Meridianbet Sport Portal January 15, 2026 Erasto Masalu Meridianbet Sportal Portal?, hili ni jukwaa ambalo Meridianbet hulitumia kwaajili ya kuwahabarisha, kuwaburudisha wapenzi wa michezo na Kasino kutoka sehemu mbalimbali huku lengo likiwa ni kuwafanya wapenzi na mashabiki wa…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Kesi ya uhaini ya Lissu kusikilizwa siku 26 mfululizo January 15, 2026 Erasto Masalu ZIKIWA siku 51 tangu kuahirishwa shauri Na. 19605/2025 la uhaini linalomkabili Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mahakama Kuu, masjala ndogo ya Dar es Salaam imepanga…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Mvutano wa kisheria wagubika Mahkama ya Z’bar January 14, 2026 Erasto Masalu JOPO la Mawakili wanaomwakilisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeishikilia hoja ya kutaka Mahkama Kuu ya Zanzibar itambulike kuwa haina mamlaka wala uwezo wa kisheria…
BIASHARA HABARI ZA AFYA Norland yashauri Watanzania kupima afya zao mara kwa mara January 14, 2026 Erasto Masalu KUTOKANA na kuongezeka kwa magonjwa yasiyoambukiza nchini ambayo yanaendelea kuathiri nguvu kazi ya Taifa kwa kushambulia watu wa rika mbalimbali, Watanzania wameshauriwa kujenga utamaduni wa kupima afya zao mara kwa…