Kama wewe ni mbashiri unayetaka zaidi ya kushinda mkeka tu, basi huu ni wakati wa kubadilisha mchezo. Kupitia ushirikiano maalum kati ya Meridianbet na Mixx by Yas, kampeni ya JIMIXX na Ushindi Bab Kubwa imekuja kuleta tafsiri mpya ya ushindi, ambapo kila dau linaweza kuwa mwanzo wa zawadi kubwa.
Wateja wote wanaoweka dau la kuanzia Tsh 5,000 au zaidi kupitia Mixx by Yas wanafunguliwa mlango wa mizunguko ya bure kwenye michezo ya kasino kutoka Expanse Studios. Hii ni zaidi ya burudani, ni nafasi ya kuongeza ushindi wako bila gharama ya ziada.
Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Promosheni hii imejengwa kwa mtindo wa ushindi wa ngazi tatu, yaani zawadi za kila siku za mizunguko ya bure, zawadi za kila wiki zikiwemo simu mpya Samsung A26 na zawadi kuu za kampeni ambapo washindi watajinyakulia Bajaj mpya 2, Pikipiki Boxer pamoja na TV ya kisasa aina ya Hisense inch 55.
Meridianbet na Mixx by Yas wameunganisha nguvu kuhakikisha kila mteja anapata urahisi wa miamala na thamani ya juu ya ushiriki wake. Hii ni kampeni inayolenga kumfanya mbashiri wa leo awe mshindi wa kesho, kwa njia rahisi, salama na yenye msisimko.
Jiunge sasa kwa kuweka pesa kupitia Mixx Super App au kwa kupiga *150*01#, chagua Malipo ya Bili, ingiza Namba ya Biashara 444999 na kiasi chako. Droo hufanyika kila Jumatano na Ijumaa. Uki-JIMIXX leo, ushindi wako unaweza kuwa mkubwa kuliko ulivyowahi kufikiria.
ZINAZOFANANA
Karibu kwenye familia ya mabilionea kupitia Diamond Jackpot ya Meridianbet
Siku ya Kimataifa ya Wanawake 2026 yasherekewa kwa Kishindo- Kilombero Sugar
MO Dewji aendelea kung’ara orodha ya Mabilionea Afrika