Meridianbet inawaletea wapenzi wa kubashiri fursa ya kipekee ya kushinda kupitia Meridian Jackpot. Hapa, kila dau linaweza kubadilisha maisha yako, kwani unaweza kubashiri matokeo ya mechi 13 zilizochaguliwa kwa makini na kushinda zawadi kubwa. Na kwa mechi tano za akiba zilizowekwa tayari, hakuna mshiriki anayepoteza nafasi kutokana na kucheleweshwa au kufutwa kwa mechi yoyote.
Kila utabiri sahihi una thamani na Meridian Jackpot inahakikisha washindi wanapewa zawadi kulingana na idadi ya matokeo sahihi. Mshindi anayebashiri mechi 13 kikamilifu ana nafasi ya kushinda TZS 200,000,000. Mechi 12 sahihi zinashinda TZS 10,000,000, na mechi 11 sahihi TZS 1,000,000. Zawadi hugawanywa kwa haki kati ya washindi wote, kuhakikisha kila mshiriki ana nafasi halali ya kushinda.
Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi, Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Meridianbet inahakikisha uadilifu na usalama wa mchezo. Tabia zisizo halali au udanganyifu hazikubaliwi, na kampuni ina haki ya kusitisha au kufuta Meridian Jackpot ili kulinda haki za washiriki. Mechi zisizokamilika zinabadilishwa na mechi za akiba, kuhakikisha kila mshiriki anapata matokeo sahihi na fursa ya kushinda kwa amani ya akili.
Washindi wanatakiwa kuthibitisha utambulisho wao kabla ya malipo kufanyika, kwa hundi au uhamisho wa benki. Zawadi haihamishwi na lazima idaiwe ndani ya siku saba. Meridianbet pia inaweza kutumia majina, picha, na sauti za washindi kwa masuala ya matangazo na kampeni za masoko, ikitoa heshima na kutambulika kwa washindi.
Huu ni wakati wako kutajirika. Shirikisha sasa kwenye Meridian Jackpot, jaribu bahati yako kubashiri mechi 13 sahihi, na uwe miongoni mwa wachezaji watakaoibuka na zawadi kubwa. Jiunge sasa na uonyeshe uwezo wako wa kubashiri.
ZINAZOFANANA
EACOP yakabidhi karakana na vifaa vya mafunzo katika chuo cha Don Bosco
Meridianbet yaleta Gates of Love, mchezo mpya wa slot wenye ushindi wa hadi x5,000
Mystery Multiplier kuleta ushindi mkubwa kwa kila mzunguko