Je, umezoea kubashiri bila kupata zaidi ya matokeo ya mkeka wako? Wakati umefika kubadilisha hilo. Meridianbet kwa kushirikiana na Mixx by Yas wameamua kuipa Tanzania ladha mpya ya ubashiri kwa kuzindua promosheni ya kipekee JIMIXX na Ushindi Bab Kubwaa, kampeni inayogeuza kila dau kuwa nafasi ya kushinda zawadi halisi. Kuanzia Januari 27 hadi Aprili 27, 2026, mchezo unaanza upya.
Hii ni promosheni iliyobuniwa kwa mbashiri wa leo, anayependa urahisi, kasi na ushindi unaoonekana. Meridianbet, wakishirikiana na Mixx by Yas, wameweka nguvu pamoja kuhakikisha mteja hapati burudani tu bali pia anahisi thamani ya kila shilingi anayoweka. Akizungumzia mwelekeo huu, mwakilishi wa Meridianbet Clementina Kigwa alisema promosheni hii ni sehemu ya mkakati wa kuwalipa wateja kwa uaminifu wao wa kila siku.
Ukiweka dau la Tsh 5,000 au zaidi kupitia Mixx by Yas, moja kwa moja unafunguliwa mlango wa mizunguko ya Bure kwenye michezo ya kasino kutoka Expanse Studios. Hapa hakuna presha, ni kucheza, kufurahia na kuongeza nafasi zako za ushindi bila kuongeza gharama.
Mbali na mchezo huu, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Na kwa wale wanaopenda zawadi zinazoonekana, JIMIXX haijabana mkono. Kuna zawadi za kila siku za mizunguko ya bure, zawadi za kila wiki zikiwemo simu mpya za kisasa Samsung A26 zikitoka 2 kila wiki, na mwisho wa yote zawadi kuu zinazobeba uzito ni Bajaj mpya 2, Pikipiki Boxer, pamoja na TV aina ya Hisense inch 55.
Ushiriki wenyewe ni mwepesi kwa kila mteja. Wateja wa Mixx by Yas wanaweza kuweka pesa kupitia Mixx Super App au kwa kupiga *150*01#, kisha Malipo ya Bili, ingiza Namba ya Biashara 444999 na kiasi unachotaka. Droo za wiki zinachezwa kila Jumatano na Ijumaa. Usikae pembeni, ingia, JIMIXX sasa, fanya dau lako lihesabike, na chukua Ushindi Bab Kubwaa na Meridianbet.
ZINAZOFANANA
7 wajishindia TV na Bajaji kupitia kampeni ya “Mwaka Umenyooka na Myairtelapp”
Shinda bila dau kwa Beti za bure kupitia Non-Stop Win&Go Drop
Naga Games na historia mpya ndani ya Meridianbet