SIASA Nchimbi awataka Mabalozi wateule kuimarisha Uhusiano ya Kimataifa April 13, 2026 Fedrick Gama MAKAMU wa Rais Balozi Emmanuel Nchimbi amewasihi Mabalozi wanaokwenda kuiwakilisha Tanzania katika Mataifa mbalimbali kutanguliza mbele maslahi ya Taifa ya kiuchumi, kisiasa na kidiplomasia. Anaripoti mwandishi wetu, Dar es Salaam…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI ACT yawasilisha Ripoti ya Uchaguzi uliovurugwa April 13, 2026 Fedrick Gama MWENYEKITI wa Chama cha ACT – Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman akiambatana na Mwenyekiti mstaafu wa chama hicho, Juma Duni Haji (Babu Duni), leo 13 Aprili 2026, amekutana na kufanya…
KIMATAIFA Iran yatishia Bandari Mashariki ya kati April 13, 2026 Fedrick Gama IRAN imetoa onyo kali kuhusu usalama wa bandari na usafiri wa majini huko Mashariki ya Kati huku mvutano ukiongezeka baada ya Marekani kujiandaa kuimarisha udhibiti wa usafiri wa meli katika…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Rais Mwinyi awaapisha wakuu wa wilaya wapya Ikulu Zanzibar April 13, 2026 Fedrick Gama RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Hussein Mwinyi, amewaapisha Wakuu wa Wilaya aliowateua hivi karibuni.Anaripoti mwandishi wetu, Dar es Salaam …(endelea). Hafla hiyo ya uapisho imefanyika leo…
BIASHARA Huitaji mamilioni kutalii nchi za nje, cheza Leprechaun Wish upate burudani April 13, 2026 Erasto Masalu Leo ni siku yako mpambanaji na kaa ukijua kwamba bahati haijirudi. Meridianbet inakuletea Leprechaun Wish, mchezo unaokuletea Ireland moja kwa moja. Cheza kidogo tu, lakini ushindi mkubwa unaweza kukukuta bila…
HABARI ZA MICHEZO Sarri wa Lazio kwenye kibarua kizito mbele ya Paolo wa Fiorentina April 13, 2026 Erasto Masalu Leo tarehe 13 Aprili saa 21:45, Uwanja wa Artemio Franchi mjini Firenze utakuwa mwenyeji wa pambano la Ligi Kuu ya Italia (Serie A) kati ya Fiorentina na Lazio. Mechi hii…
KIMATAIFA Papa leo Xiv ni mdhaifu-Trump April 13, 2026 Fedrick Gama RAIS wa Marekani, Donald Trump, amemshambulia vikali Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo XIV, akimtuhumu kuwa dhaifu katika kushughulikia masuala ya uhalifu na asiye na msimamo thabiti kwenye…
HABARI ZA MICHEZO Liam Rosenior uso kwa uso na Pep Guardiola, nani kumzidi maarifa mwenzake April 12, 2026 Erasto Masalu Jioni ya leo Chelsea wanaingia kwenye mechi wakiwa wamevunjika moyo baada ya kupoteza mechi mbili mfululizo (3-0 kwa Everton na 1-0 kwa Newcastle), na hali ya chumba cha kubadilishia inaweza…
BIASHARA Shiriki vita dhidi ya mazombi upokee bonasi ya kibabe April 12, 2026 Erasto Masalu Mitaa inapata msukumo mpya wa kushiriki na kuonja burudani ya kasino mtandaoni kupitia Zombie Apocalypse. Huku ni vitani haswa ambapo unahakikisha unawashinda viumbe hawa wanaotisha kwelikweli huku ukivuna pesa ya…
KIMATAIFA SIASA Kamala Harris kuwania Urais Marekani 2028 April 11, 2026 Fedrick Gama KAMALA Harris, ambaye aliwahi kuwa Makamu wa Rais wa Merekani kutoka Januari 2021 hadi Januari 2025 chini ya Joe Biden, ametangaza kuwa anaweza kugombea tena Urais mnamo 2028. Anaripoti mwandishi…