Msimu wa sikukuu umepata mwendo mpya baada ya Meridianbet kuzindua Sweet Holiday Chase, promosheni inayokuletea furaha na ushindi wa haraka. Kila mzunguko ni hatua moja kwenye safari kuelekea hazina ya TSh 14,500,000,000/-, kiasi kinachowapa mzuka mashabiki wa burudani na ushindani.
Kila wiki, zawadi 125,000 zinatolewa bila kukoma, zikifanana na zawadi za likizo zinazoeneza shangwe. Unachohitaji ni beti yoyote ili kuingia kwenye mchezo, hakuna kiwango cha kuanzia, wala shinikizo lolote lile. Kila mzunguko ni nafasi mpya ya kushinda na kuunganishwa na sherehe ya msimu.
Kujiunga ni rahisi tu, we fanya mzunguko mmoja kwa pesa halisi kwenye mchezo wowote uliopo kwenye promosheni, na moja kwa moja jina lako linajiunga na foleni ya washindani. Kila mzunguko ni hatua moja karibu zaidi na hazina.
Meridianbet inaendelea kuwa kitovu cha burudani. Michezo ya kasino yenye ubora, mechi zenye odds zinazovutia, pamoja na urahisi wa kujiunga kupitia meridianbet.co.tz au *149*10# Ukiwa na Meridianbet, kila siku ni ukurasa mpya wa hadithi ya ushindi.
Ushindi ni burudani yenyewe. Zawadi zinaweza kushuka wakati wowote, kila mzunguko unaokidhi vigezo unaweza kutoa zawadi moja kwa wakati. Kila mzunguko unakuwa nafasi ya kubadilisha likizo yako kuwa ya ajabu na ya kushangaza.
Na kilicho bora zaidi ni kwamba Sweet Holiday Chase imejaa ofa tamu kama mizunguko ya bure na nafasi ya kupata hadi mara 500 ya dau lako. Hapa ndipo unapoibuka kuwa shujaa wa msimu huu wa sikukuu. Ingia Meridianbet na uifanye likizo hii kuwa ya kukumbukwa zaidi.
ZINAZOFANANA
Norland yashauri Watanzania kupima afya zao mara kwa mara
Safari mpya ya ushindi mtandaoni na Non-Stop Win&Go Drop
Burudani ya Zombie Apocalypse kuja na simulizi jipya ndani ya Meridianbet