Meridianbet, bingwa wa burudani na ubunifu nchini Tanzania, amerudi tena na ofa ambayo imewasha moto mpya wa ushindi kupitia mchezo wa Wild White Whale. Mwezi mzima, kila siku ni nafasi mpya ya kukusanya mizunguko ya bure isiyo na mipaka.
Kwenye promosheni hii, kila mchezaji aliyesajiliwa anaweza kujishindia mizunguko 50 ya bure kila siku, kwa kukamilisha tu mizunguko 100 ya pesa halisi kwenye Wild White Whale. Hakuna kubahatisha hapa, ukicheza, unapata. Iwe siku yako imekuwa ya ushindi au la, zawadi yako ya kila siku inabaki kuwa ya uhakika.
Cha tofauti zaidi kwenye ofa hii ni uharaka wake. Ukimaliza mizunguko 100, hupaswi kutuma ujumbe, kusubiri uthibitisho au kupitia hatua zozote za ziada. Mizunguko yako 50 ya bure inaingia moja kwa moja kwenye akaunti yako, tayari kwa matumizi. Na haina masharti ya kuchezwa tena, kile unachoshinda, ni chako moja kwa moja.
Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Kwa kuhakikisha maadili ya uchezaji wa haki, promosheni hii inapatikana kwa akaunti moja kwa kila mchezaji, kuhakikisha kila mtu anapewa nafasi sawa na isiyo na upendeleo. Na kama ilivyo kawaida kwa promosheni za uwazi, Meridianbet inahifadhi haki ya kufanya mabadiliko au kusitisha ofa hii kulingana na sera zao za uendeshaji.
Usiache msimu huu wa bahati upite ukiwa mtazamaji tu. Tembelea meridianbet.co.tz au pakua app ya Meridianbet, ingia kwenye mchezo wa Wild White Whale, na uanze kukusanya mizunguko yako ya bure kila siku. Cheza bila hofu, kwa sababu bahati yako imeamka, na safari ya ushindi inaanza sasa.
ZINAZOFANANA
Wiki ya mwisho ya kushinda Samsung A26 kutoka Super Heli yazidi kunoga
Zombie Apocalypse ya Meridianbet ni safari ya ushindi isiyokuwa na mipaka
Meridianbet yarejesha kwa jamii ikigawa vyakula kwa familia zenye uhitaji