Kama ilivyo kawaida Meridianbet kwa promosheni hapa ndio nyumbani, na safari hii kuna mwendelezo wa promosheni ya Kujisajili, Kuweka Pesa, Kucheza na Kujishindia Samsung A26.
Promosheni hii imeanza mwezi huu tarehe 01 na itaenda mpaka 30 Novemba ambapo zaidi ya simu janja aina ya Samsung A26 zitatolewa na Meridianbet kwa wale ambao watakuwa washindi.
Vilevile promosheni hii inafanya kazi au ni halali kwa wale ambao wamesajiliwa kwenye APP na tovuti ya meridianbet.co.tz huku promosheni hii hapa haikuzuii pia kucheza na michezo ya Kasino ambayo wewe unaitaka ikiwemo Aviator, Super Heli, Keno na mingine kibao.
Je unajua kuwa jinsi ambavyo utakavyocheza mara nyingi zaidi ndivyo utajiweka kwenye nafasi kubwa zaidi ya kujishindia mara 3 Samsung A26 mpya kabisa ambayo umeandaliwa kwaajili yako wewe mshindi wa Meridianbet.
Chukua mzigo mkubwa kwenye promosheni ya kibabe ya jisajili, weka pesa cheza na ushide siku ya leo, lakini ongeza mshiko wako wkenye michezo ya kasino kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Wakali hawa wa ubashiri wanasisitiza kuwa droo ya kumpata mshindi itafanyika tarehe 10 Disemba mwaka huu na mshindi atatangazwa siku hiyo hiyo ambayo droo imefanyika ili kuhakikisha kuwa mteja anaondoka na simu yake.
Meridianbet inasisitiza kuwa tiketi za Turbo Cash ni batili na hazitatumika wakati wa promosheni hii, hivyo mshiriki inabidi asubiri mpaka mechi zake zote zlizobashiri zimalizike ndipo aweze kujihesabia kama mshindi.
Kumbuka kuwa dau lako lolote linaweza kukufanya uwe mshindi siku hiyo kwani Meridianbet hawajaweka dau maalumu la wewe kushiriki kwenye promosheni hii. Hivyo changamkia fursa leo.
ZINAZOFANANA
Slotopia yaishikilia Meridianbet, ushindi na burudani bila kikomo
Ushindi ni wako na Meridianbet leo
Win&Go na siri ya ushindi kupitia Lucky Loser