Habari kubwa kwako rubani wa helikopta ya maokoto kutoka Meridianbet. Sasa kupitia mchezo pendwa na kabambe wa Super Heli kutoka Expanse Studios, meridianbet wanakupatia zawadi kubwa ya simu ya kisasa aina ya Samsung A26 mpya kabisa bila uhitaji wa gharama za ziada. Ndiyo ni bila gharama za ziada.
Mchongo mzima upo hivi, Meridianbet wana jumla ya simu nane zinazotoka ndani ya mwezi Oktoba kwenda wa wateja wake waliofanikiwa kucheza mara kwa mara mchezo wa kasino mtndaoni wa Super Heli na zitatoka kwa jumla ya wiki nne ambapo kila wiki simu mbili zitakua zikigawiwa kwa siku ya jumatatu.
Super Heli ni mchezo rahisi sana unaokuhitaji kupaisha helikopta yako tu na kadri inavyozidi kupaa basi unaongeza ukubwa wa odds zako pamoja na nafasi yya kujiongezea kipato kwani dau unaloliweka linajizidisha na ukubwa wa odds zinazopatikana kwa namna helikopta hiyo inavyozidi kupaa.
Mbali na Super Heli, pia meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Siri ya ushindi kwenye mchezo huu ni moja tu, toa pesa mapema kabla helikopta haijalipuka, basi. Ni rahisi sana, kwa mtu mwenye utaalamu wa michezo anajua ni namna gani ya kuchanganya utaalamu wake, bahati na hisia za haraka za kujua ni wakati gani helikopta hii inaenda kuanguka.
Usichelewe nafasi hii adimu ya kuondoka na simu janja ya kisasa ya Samsung A26 mpya kabisa kutoka Meridianbet bila kuingia gharama yoyote ile ya ziada. Cha kufanya ni kuingia kwenye tovuti ya meridianbet.co.tz au kupakua application yao ya simu ya meridianbet na anza kucheza SuperHeli kwa dau lolote huku ukisubiri kupokea simu ya ushindi wa kishindo.
ZINAZOFANANA
Michezo, bonasi na ushindi yote ipo kwenye Meridianbet Sports Portal
Meridianbet yaunga mkono uinuaji vipaji, yagawa vifaa vya michezo kwa Jamii
Bashiri na Meridianbet leo uibuke bingwa