October 15, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Raila Odinga afariki dunia

 

MWALIMUwa siasa za upinzani Afrika Mashariki, Raila Odinga, amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …( endelea).

Odinga amefariki dunia akiwa kwenye matibabu nchini India.

Pumzika kwa amani, baba! Taarifa zaidi zitakuja baadaye.

About The Author

error: Content is protected !!