
Kwa wapenzi wa michezo ya kubashiri, ushindani hauishii tu kwenye dau na odds, sasa unakuja na zawadi za kifahari zinazochochea msisimko wa hali ya juu. Kampuni maarufu ya ubashiri nchini Tanzania, Meridianbet, imezindua promosheni kabambe inayowapa wachezaji wake nafasi ya kujishindia simu mpya kabisa aina ya Samsung A25 kupitia mchezo maarufu wa Aviator.
Aviator ni mchezo wa kipekee unaohusisha urushaji wa ndege angani, ambapo dau la mchezaji huongezeka kadri ndege inavyopaa juu. Odds huongezeka kwa kasi, na mchezaji anaweza kujizidishia dau lake mara kadhaa lakini kwa masharti moja muhimu, toa dau lako kabla ndege haijalipuka.
Ni mchezo unaohitaji uamuzi wa haraka, mikakati ya kipekee, na moyo wa ujasiri. Kila sekunde ni muhimu, na kila mchezaji anakuwa kama rubani anayechagua muda sahihi wa kutua. Hii ndiyo burudani ya kweli kwa mashabiki wa michezo ya kubashiri na sasa, Meridianbet imeongeza msisimko kwa kuleta zawadi ya simu ya kisasa.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Promosheni hii maalum imeanza rasmi tarehe 1 Septemba 2025 na itaendelea kwa mwezi mzima hadi 30 Septemba, 2025. Ndani ya kipindi hiki, Meridianbet itatoa simu mbili mpya kila Jumatatu kwa washindi waliopatikana kwa kuzingatia masharti ya promosheni.
Zawadi hizi zinapatikana kwa wachezaji wote wanaoshiriki kupitia tovuti rasmi ya meridianbet.co.tz au wale wa programu ya simu ya Meridianbet. Hii ni fursa ya kipekee kwa wachezaji wa Aviator kuondoka na zawadi ya thamani kila wiki bila kulipia chochote zaidi ya dau lao la kawaida.
Ikiwa wewe ni mpenzi wa michezo ya kubashiri au unatafuta sababu ya kuanza, basi huu ndio wakati sahihi. Rusha kindege cha Aviator na ujiunge na orodha ya washindi wa zawadi kabambe kutoka Meridianbet.
ZINAZOFANANA
Meridianbet yaja na Meridian bonanza, ushindi kila mzunguko
Meridianbet yaweka meza ya ushindi kupitia Zombie Apocalypse
Mwendokasi Mbagala bado kuzungumkuti