Naibu Katibu Mkuu CHADEMA, Amani Golugwa
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Manyara, imetoa zuio la utekelezaji wa amri ya msajili wa vyama vya siasa ya kuzuia ruzuku ya Chama cha Chademokrasia na kutowatambua viongozi waliothibitishwa na baraza Kuu la Chama hicho lilofanyika tarehe 22 Januari 2025. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).
Msajili wa vyama vya siasa aliteungua uteuzi wa John Mnyika Kuwa Katibu Mkuu wa Chadema, Amani Golugwa, Naibu Katibu Mkuu, Dk. Rugemaliza Nshala Mwanasheri Mkuu, Gobless Lema Mjumbe wa Kamati Kuu, Rose Mayemba na wengine.
Chadema kiliwakilishwa na mawakili wawili wa kujitegemea, Mpale Mpoki na Nyaronyo Kicheere.
ZINAZOFANANA
TMA yatangaza mvua kubwa zitakuja, mikoa 14 kuathirika
Dk. Mohamed aendeleza mageuzi katika jamii ya Mtambwe
Maaskofu Kanisa Katoliki wazidi kucharuka