
Wapenzi wa kasino mtandaoni, Meridianbet imezidi kuwaambia kuwa burudani na ushindi vinaweza kwenda sambamba. Kampeni mpya ya Non-Stop Win&Go Drop inawapa wateja wake, wapya na waliopo, nafasi ya kupata beti za bure hadi 500 kila siku, hatua moja rahisi tu ndani ya mchezo wa bahati nasibu unaopendwa sana wa Win&Go.
Win&Go si mchezo wa kawaida ni mchezo unaounganisha ustadi wako kwenye kasino na bahati. Chagua namba 6 hadi 10 kati ya jumla ya 48, subiri matokeo kila baada ya dakika tano, na shuhudia ushindi unapopatikana pale namba zako zikipatikana kwenye mzunguko. Lakini Meridianbet inafanya mchezo huu kuwa wa kipekee zaidi kwa nafasi za zawadi, nafasi maalum zinazowezesha wachezaji kupata pesa waliyoicheza hata kama hawakushinda, huku nafasi mbili zikiongeza ushindi mara nne. Na kama hiyo haikutoshi, bado kuna mizunguko ya dhahabu inayoongeza fursa mara dufu.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi. Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Kwa miaka sasa, Meridianbet imekuwa ikitoa bonasi kibao kama mizunguko ya bure, bonasi za ukaribisho kwa wateja wapya, na promosheni zinazojitokeza kila mara. Lakini kwa Win&Go, furaha inafikia kiwango kingine. Beti za bure zinawapa wachezaji uhuru wa kujaribu, kucheza, na kushinda bila kutumia fedha zao wenyewe.
Hii ni mwanya wa kipekee wa kujiunga na sherehe ya michezo mtandaoni, kupata tiketi za bure, na kujaribu bahati yako katika mchezo wa Win&Go. Kujiunga ni rahisi, jisajili kupitia tovuti au app ya Meridianbet, fuata taratibu za kuanzisha akaunti, kisha anza kushinda na kuishi msisimko wa kila mzunguko.
Meridianbet inathibitisha mara nyingine tena kuwa wateja wake wanathaminiwa, na kila ofa inalenga kuhakikisha kuwa burudani, furaha, na faida vyote unavipata wewe mteja wao.
ZINAZOFANANA
Mystery Multiplier Drop Campaign ndani ya Meridianbet
Ruby Play kukupatia burudani ya kutosha ndani ya Meridianbet
Serikali yapunguza kodi ya uingizaji wa vitenge