August 26, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Mpina ang’olewa kugombea Urais kupitia ACT Wazalendo

Luhaga Mpina, Mgombea Urais wa ACT Wazalendo

 

MSAJILI wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, amemuondoa Luhaga Joelson Mpina, kwenye kinyang’anyiro cha kuwania urais, kupitia ACT-Wazalendo. Taarifa zaidi, soma gazeti la MwanaHALISI Alhamisi hii.

About The Author

error: Content is protected !!