
Meridianbet imerejesha msisimko wa hali ya juu kwenye ulimwengu wa kasino mtandaoni kupitia Playson Short Races, mbio za kasi zinazokupa nafasi ya kujishindia mamilioni ya pesa taslimu kila siku. Hii ni fursa yako ya kuonyesha uwezo wako, kupanda kwenye leaderboard, na kuwa miongoni mwa mabingwa wanaovuna ushindi mkubwa.
Kila usiku, kuanzia saa 4:00 hadi saa 8:50, kila mzunguko unaocheza kwenye sloti za Playson ni tiketi yako ya kuingia kwenye dimba la washindi. Kwa dau la chini kabisa la TZS 600 tu, unaweza kushiriki katika mbio 10 za kasi za kila siku, ambapo kila ushindi unakuongeza pointi na kukukaribisha zaidi kwenye zawadi za kifalme. Kadri unavyozidi kushinda, ndivyo unavyopanda juu kwenye leaderboard, na fursa yako ya kuondoka na kitita kikubwa cha pesa taslimu inavyoongezeka.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Uzuri wa Playson Short Races ni kwamba washindi wote hulipwa moja kwa moja kwenye akaunti zao za Meridianbet ndani ya siku tatu tu. Hakuna kusubiri wala kusumbuliwa, ni ushindi safi, wa haraka, na wa uhakika kwa kila bingwa. Mashindano haya yanagawanya jumla ya TZS Bilioni 6 kila mwezi, lakini ni kwa wachezaji wa pesa halisi pekee, bila bonasi. Hapa ni wewe, dau lako, na bahati yako, yaani hakuna mbwembwe.
Mashindano haya ya kipekee yalianza tarehe 9 Agosti na yanaendelea hadi mwisho wa mwezi. Usikose nafasi hii ya kuishi kama bingwa na kugeuza mizunguko midogo kuwa ushindi wa kukuwekea heshima kwenye maisha yako. Fungua akaunti yako ya Meridianbet leo kupitia tovuti au app ya simu, weka dau lako la TZS 600, na ujiandike kwenye historia ya washindi wa Playson Short Races.
ZINAZOFANANA
Barrick-Twiga yapongezwa kuwa kielelezo cha ubia wenye mafanikio nchini
Wakazi wa Kijitonyama wafurahia ujio wa Meridianbet
Bilionea mpya, TZS 14,996,310.99 zimepatikana kwa dau dogo